Kabla ya Mwaka Kuisha - Fahamu Makadirio ya Gharama Ujenzi wa ile Nyumba Yako!

Nyumba Nafuuu

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
404
423
Kwanini Ujenge kwa kukisia kisikisia? Uanze ujenzi wako bila kujua utahitaji nguvu kiasi gani... Utapata stress
IMG-20241218-WA0008.jpg


Kujua makadirio Ujenzi inakusudia
  • kujua unahitaji nguvu kiasi gani
  • kujua gharama Ujenzi kila steji kama msingi, kuta, paa...
  • unapotaka kuomba mkopo benki wanahitaji ili wakupe mkopo
  • kuweza kujipanga mapema kisaikolojia na kibajeti
  • kuanzisha mikakati ya kupata fedha hizo
  • ni document ya kuanzia Negotiation ya bei ya vifaa na ufundi
  • inakusudia kujua pale wizi na ufujaji ktk ujenzi wako unapotokea

Utafahamu Makadirio ya Gharama ya Ujenzi kwa KILA AWAMU (msingi, kuta, paa, maji, sakafu, umeme...) na

Kiasi cha BATI, TOFALI, MARUMARU na GYPSUM... Na vifaa vyote na gharama ufundi

Simu/ WhatsApp:
+255 657 685 268
 
Back
Top Bottom