not necessarily true.
Shida unakariri, kununua Tbills sio lazima nisubiri hio miaka iishe. Naweza kuwa na Tbills nikazitumia kama collateral kupata mikopo nikafanya mambo yangu ya sasa.kama inflation ni 4 - 5% na unarudishiwa 10% miaka 2, apo umefnya nn?
pesa haiko ivo mzee na sio rahisi ivo, hakuna pesa yoyote halali duniani itaayokutajiriisha, pesa ya kukutajirisha sku zote lazima uchezo faulo kinachokuchanya wewe ni kudhani matajiri wananunua hisa ama bonds kwa lengo la kua tajiri zaidi, matajiri hawana shida na pesa bali wana motivate tafauti sasa wewe waige uangukie pua,Shida unakariri, kununua Tbills sio lazima nisubiri hio miaka iishe. Naweza kuwa na Tbills nikazitumia kama collateral kupata mikopo nikafanya mambo yangu ya sasa.
Mkuu investing ni swala ambalo inabidi ujue vitu viiingi kisha uanze kuviconnect na kucheza navyo. Ndio maana mwarabu Mo aliwazidi akilu simba akaweka zile billions kwenye bonds kusha team inaendeshwa kwa returns na loans tu ambayo iko guaranteed na hizo bonds. Yaan kanunua team huku hela aloweka inaendelea kuzalisha pengine
vijana hawapendi kurisk elaMimi nawashauri vijana kuacha uoga na uvivu wa kutowekeza kwenye biashara zao binafsi na kwenda kuikopesha serikali kwa kupewa 10% mwisho wa mwaka ambapo ukitoa inflation rate unabaki na hela kidogo mno. Haya mambo ya kulaza hela tuwaachie wazee waliojipata.
Upo sahihi sanaaaMimi nawashauri vijana kuacha uoga na uvivu wa kutowekeza kwenye biashara zao binafsi na kwenda kuikopesha serikali kwa kupewa 10% mwisho wa mwaka ambapo ukitoa inflation rate unabaki na hela kidogo mno. Haya mambo ya kulaza hela tuwaachie wazee waliojipata.
Bonds zipo za miez 3, miez 6 mwaka 1 miaka 10 miaka 20 had 30 bond price inapanda na kushuka pia... Faida yake ni uhakika wa kupata ruturn ya uwekezaji wako.. + pesa yako uliyowekeza.. Mfano Samia bonds ukienda CRDB unawakuuzia wanatoa rate ya 12% kuanzia Miak 5.. ktk mwaka unapewaa mara 4 or mbili its depend na iyo bonds. ina malengo gani..Wataalamu nipeni tofauti kati ya T-bills na bonds mfano 'Samia bonds'.
Nipeni faida na hasara za kila moja.
Kurisk sio kwa watu wote ni watu wachache wenye nidhamu ya kufanya plan calculated riskvijana hawapendi kurisk ela
T-Bill ni mkopo wa muda mfupi = chini ya miaka 5Wataalamu nipeni tofauti kati ya T-bills na bonds mfano 'Samia bonds'.
Nipeni faida na hasara za kila moja.
Noma sana!Ego ni mbayaa acha watu wawekezee wee uko smart karisk unapoamini.. ndo nyie watu wakitrade forex mnasema scam wakienda bond watz wavivu 😁😁
Tbills inazidi mwaka?kama inflation ni 4 - 5% na unarudishiwa 10% miaka 2, apo umefnya nn?
Tbills zinakaa miaka.. !!Shida unakariri, kununua Tbills sio lazima nisubiri hio miaka iishe. Naweza kuwa na Tbills nikazitumia kama collateral kupata mikopo nikafanya mambo yangu ya sasa.
Mkuu investing ni swala ambalo inabidi ujue vitu viiingi kisha uanze kuviconnect na kucheza navyo. Ndio maana mwarabu Mo aliwazidi akilu simba akaweka zile billions kwenye bonds kusha team inaendeshwa kwa returns na loans tu ambayo iko guaranteed na hizo bonds. Yaan kanunua team huku hela aloweka inaendelea kuzalisha pengine
Tofauti moja kunwa ni T-bills hua ni chini ya mwaka na haina interest, na bonds hua zinaanzia mwaka kwenda mbele na hua zinakua na returns.Wataalamu nipeni tofauti kati ya T-bills na bonds mfano 'Samia bonds'.
Nipeni faida na hasara za kila moja.