Kabla hujanunua hati fungani za serikali, zingatia haya

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
6,708
4,067
1737017232729.png
 
not necessarily true.

tbills za nchi kama USA na Japan mbona ni deal sana?

Na unajua kwenye uncertain economic times watu huuza hisa na kununua tbills?
kama inflation ni 4 - 5% na unarudishiwa 10% miaka 2, apo umefnya nn?
 
kama inflation ni 4 - 5% na unarudishiwa 10% miaka 2, apo umefnya nn?
Shida unakariri, kununua Tbills sio lazima nisubiri hio miaka iishe. Naweza kuwa na Tbills nikazitumia kama collateral kupata mikopo nikafanya mambo yangu ya sasa.

Mkuu investing ni swala ambalo inabidi ujue vitu viiingi kisha uanze kuviconnect na kucheza navyo. Ndio maana mwarabu Mo aliwazidi akilu simba akaweka zile billions kwenye bonds kusha team inaendeshwa kwa returns na loans tu ambayo iko guaranteed na hizo bonds. Yaan kanunua team huku hela aloweka inaendelea kuzalisha pengine
 
To each their Own....

Advantages
  • High Liquidity: Treasury Bills are highly liquid, making them excellent for managing short-term liquidity needs as they can be easily converted into cash.
  • Low Risk: With government backing, Treasury Bills present virtually no risk of default, making them one of the safest investment options available.
  • Suitable for Short-term Investments: Ideal for investors looking to place funds for a short duration, Treasury Bills offer a safe haven without the volatility of long-term market exposure.
Disadvantages
  • Lower Yields: Due to their secure nature, Treasury Bills typically yield less than other longer-term government or corporate securities, reflecting their lower risk.
  • No Periodic Interest: Unlike other securities, Treasury Bills do not offer periodic interest payments; instead, they are purchased at a discount and redeemed at face value at maturity.
  • Limited Profit Potential: The short-term nature and lower interest rates associated with Treasury Bills limit the potential for significant returns compared to other, more volatile investments.
 
  • Thanks
Reactions: I M
Shida unakariri, kununua Tbills sio lazima nisubiri hio miaka iishe. Naweza kuwa na Tbills nikazitumia kama collateral kupata mikopo nikafanya mambo yangu ya sasa.

Mkuu investing ni swala ambalo inabidi ujue vitu viiingi kisha uanze kuviconnect na kucheza navyo. Ndio maana mwarabu Mo aliwazidi akilu simba akaweka zile billions kwenye bonds kusha team inaendeshwa kwa returns na loans tu ambayo iko guaranteed na hizo bonds. Yaan kanunua team huku hela aloweka inaendelea kuzalisha pengine
pesa haiko ivo mzee na sio rahisi ivo, hakuna pesa yoyote halali duniani itaayokutajiriisha, pesa ya kukutajirisha sku zote lazima uchezo faulo kinachokuchanya wewe ni kudhani matajiri wananunua hisa ama bonds kwa lengo la kua tajiri zaidi, matajiri hawana shida na pesa bali wana motivate tafauti sasa wewe waige uangukie pua,
 
Mimi nawashauri vijana kuacha uoga na uvivu wa kutowekeza kwenye biashara zao binafsi na kwenda kuikopesha serikali kwa kupewa 10% mwisho wa mwaka ambapo ukitoa inflation rate unabaki na hela kidogo mno. Haya mambo ya kulaza hela tuwaachie wazee waliojipata.
 
vijana hawapendi kurisk ela
 
Ego ni mbayaa acha watu wawekezee wee uko smart karisk unapoamini.. ndo nyie watu wakitrade forex mnasema scam wakienda bond watz wavivu 😁😁
 
Wataalamu nipeni tofauti kati ya T-bills na bonds mfano 'Samia bonds'.
Nipeni faida na hasara za kila moja.
Bonds zipo za miez 3, miez 6 mwaka 1 miaka 10 miaka 20 had 30 bond price inapanda na kushuka pia... Faida yake ni uhakika wa kupata ruturn ya uwekezaji wako.. + pesa yako uliyowekeza.. Mfano Samia bonds ukienda CRDB unawakuuzia wanatoa rate ya 12% kuanzia Miak 5.. ktk mwaka unapewaa mara 4 or mbili its depend na iyo bonds. ina malengo gani..
 
Shida unakariri, kununua Tbills sio lazima nisubiri hio miaka iishe. Naweza kuwa na Tbills nikazitumia kama collateral kupata mikopo nikafanya mambo yangu ya sasa.

Mkuu investing ni swala ambalo inabidi ujue vitu viiingi kisha uanze kuviconnect na kucheza navyo. Ndio maana mwarabu Mo aliwazidi akilu simba akaweka zile billions kwenye bonds kusha team inaendeshwa kwa returns na loans tu ambayo iko guaranteed na hizo bonds. Yaan kanunua team huku hela aloweka inaendelea kuzalisha pengine
Tbills zinakaa miaka.. !!
 
Wataalamu nipeni tofauti kati ya T-bills na bonds mfano 'Samia bonds'.
Nipeni faida na hasara za kila moja.
Tofauti moja kunwa ni T-bills hua ni chini ya mwaka na haina interest, na bonds hua zinaanzia mwaka kwenda mbele na hua zinakua na returns.
 
Back
Top Bottom