Kabati la hovyo sana hilo.Ni kabati ambayo unaweza kuhamisha kwa haraka pia ina uwezo wa kuhifadhi nguo nyingi.Hii ni maalum kwa wale wenye chumba kimoja kwa sababu haichukui nafasi kubwa.ukihitaj unaletewa popote ulipo na pia tuna tuna kwa wateja wa mikoani.Bei ni 75000
Contact 0717388265
Kweli kabisaHapa kwenye mchoro liko vizuri.....ila ki uhalisia ukipanga vitu kama picha inavyoelekeza ni utadumu nalo kwa wiki kadhaa tu..
kilikutokea nini?Sitarudia huu ujinga, 80k hadi leo inaniuma!
Kabati hili panya wanali dharau kwelikweli,
La Jirani yangu walikula vitambaa mpaka Vyuma.
Nikiwa fresh nitakucheki mkuu.
Kabati zuri kwa mwonekano lakini ni 'delicate' sana. Halihitaji kuguswaguswa, la sivyo litasambaratika ndani ya siku mbili. Niliwahi kulinunua kwa ajili ya kuhifadhia nguo za mapacha wangu, walivyo watundu sasa, kabati lilidumu mwezi mmoja tu.Ni kabati ambayo unaweza kuhamisha kwa haraka pia ina uwezo wa kuhifadhi nguo nyingi.Hii ni maalum kwa wale wenye chumba kimoja kwa sababu haichukui nafasi kubwa.ukihitaj unaletewa popote ulipo na pia tuna tuna kwa wateja wa mikoani.Bei ni 75000
Contact 0717388265
Cha ajabu sasa mi kabla sijanunua niliwahi kuliona kwa mshkaji anatumia, tena alidumu nalo tu na alikuwa akihama chumba anapangua na kulipanga upya fresh tu.
Kabati la hovyo sana hilo.
Sina hamu nayo kabisa hayo ma wardrobe.
Achana nalo.Ushawahi kulitumia kaka?
Nataka nikanunue kariakoo. Maana sina laki tatu za kuchongesha kabati la mbao! Nina laki moja tu
Afadhali umenipa moyo! Ngoja Namie nikanunue Kariakoo maana sina laki tatu A kuchongesha kabati la mbao
Fuata mlolongo wa ushauri hapo juu kwa mara nyngine.Wakuu, nataka nikalinunue Kariakoo. Kesho naenda. Ushauri?
Mzee unajishauri sana.yaani toka 2020 mpaka leo bado hujaamua hivi unaweza kuhonga wewe?Wakuu, nataka nikalinunue Kariakoo. Kesho naenda. Ushauri?