Kabadilika ghafla, sijui nifanyeje?

Wewe ni jipu, unataka sisi tusio na namba zake tukubembekezee au?,wanaume wanaisha duu hadi hilibumeleta huku?
Mwajuma hilo limetoka wapi..? Mbona hili lipo mbali tuu ni native kabisa sema imenigusa. kwa mawazo yangu sijaweza kulitutatua nikaomba mawazo yenu. Nipe ushauri nifanyeje.. Kama ni wewe dear
Kwani akili za Kiume tu nazijua wenyewe... Na Mungu.
 
Umezidi umerooo yaani j3 tuu mmetongozana j4 mkabilingishane!........bora kakutosa amekuona unapapara wewe" kumbuka mwenye pupa hadiriki kula tamuu! Polee
 
Back
Top Bottom