JWTZ na Polisi nao hupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu kwa Tanzania Bara?

Duuh...hapa changamoto sasa,nimwamini yupi sasa ambae ana reference ya uhakika ya kikatiba maana naona wengi tuna majibu ya stori za vijiweni.
Hawaruhusiwi kushiriki kwenye siasa kama kwenye kampeni direct kama raia wa kawaida lakini wanahaki ya kupiga kura ndomana hata Zanzibar walipiga jana.
 
sio kweliii, watu wote wanaruhusiwa kupiga kura hao unaowasema miaka nenda rudi tupo nao mtaani tunapanga nao mistari kwenda kupiga kura, tatizo ni moja tuu asiwe amevalia mavazi ya kazi, nje ya hapo wanapiga kura vizuri tuu na ukiwakagua wengi wana vitambulisho vya kupigia kura.
Sasa ilikuaje kule Z'bar kwenda kupiga kura wakiwa kwenye sare zao za kazi??
Kwanini waliruhusiwa kupiga siku moja kabla tofauti na huku Bara??
 
Polisi ni raia wa tanzania na wamezidi miaka 18 ivyo wana haki ya kupiga kura ila hawaruhusiwa kuwa mashabiki wa chama cha siasi au kuoneshwa wazi hisia zao juu ya ushabiki wa chama fulani.
Sina hakika na jibu lako kulingana na nature ya kazi za hawa watu (Polisi +Wanajeshi).
Hivi unadhani ni kwanini Askari polisi na Jeshi hawaruhusiwi kuwa na vyama vya wafanyakazi kama wafanyakazi wengine ikiwa wao watakuwa na haki za kiraia kama raia wengine.
Mfano madaktari wana chama chao kutetea maslahi ya madaktari, walimu wana chama chao cha kutetea maslahi ya walimu na makundi mengine ya wafanyakazi ambayo sijayataja.
Je unadhani ni kwanini polisi na wanajeshi hawana hivyo vyama vya wafanyakazi ikiwa watakuwa na haki kama raia wengine mfano wapige kura na wao wamchague wanaomtaka .
 
Nimesoma makongo sekondari nina uhakika na hili, kulikuwa na kituo cha kupiga kura pale na wanajeshi na familia zao walipiga kura na cha ajabu upinzani ndio waliongoza kwa kura. Kwahy
 
Sina hakika na jibu lako kulingana na nature ya kazi za hawa watu (Polisi +Wanajeshi).
Hivi unadhani ni kwanini Askari polisi na Jeshi hawaruhusiwi kuwa na vyama vya wafanyakazi kama wafanyakazi wengine ikiwa wao watakuwa na haki za kiraia kama raia wengine.
Mfano madaktari wana chama chao kutetea maslahi ya madaktari, walimu wana chama chao cha kutetea maslahi ya walimu na makundi mengine ya wafanyakazi ambayo sijayataja.
Je unadhani ni kwanini polisi na wanajeshi hawana hivyo vyama vya wafanyakazi ikiwa watakuwa na haki kama raia wengine mfano wapige kura na wao wamchague wanaomtaka .
Wanapiga kura Ila hawaruhusiwi kujihusisha na siasa kwa namna yeyote ile. Hilo lachama chawafanyakazi, nikwasababu yakiapo chao ndio hakiwaruhusu kuwa nahayo, huku vyama vingine vikiwa havina kiapo bali mikataba ya muajiri na muajiriwa.
 
Nimenza kuamini maneno ya mwana falsafa mmoja wa Ugiriki ya kale aliyeitwa PILATO ambae aliwahi kusema kuwa "Jeshi ni kazi ya watu wasiyo na akili kwa sababu wao hutekeleza tu order/amri bila kuhoji "
Na pia akasema kuwa "Wanasiasa ni wapiga kelele tu (Noise makers) ambao hutoa ahadi hewa kwa raia. 🤔🤔🤔
 
umefafanua lakini bado kuna utata...bado tu najiuliza Askari au mwanajeshi akapiga kura alafu akatangazwa magufuli mshindi wakati yeye (polisi au mwanajeshi) alimpigia Lissu, then kukatokea vurugu wao wakatumwa wakazime zile vurugu huoni kuwa kunaweza kuwa na uasi hapo hata na wao wakaungana na waandamanaji ?
oyaa

tunapiga kura na wino tunachovya tukivalia kiraia zaidi

una jingine?
 
Mbona bara hawaruhusiwi nao wapewe hiyo haki
Kabisa hata mm bara sijawahi kuona ama kusikia askari au mwanajeshi anapiga kura kumchagua Rais ila huku zanzibar ilinibidi nishangae lile Tangazo la ZEC na nikadhani labda huku katiba inawaruhusu na ndiyo maana huku wanapigaga kura siku mbili.
 
Haujui kitu, KWA MUJIBU WA KATIBA WANARUHUSIWA KUPIGA KURA ILA HAWARUHUSIWI KUJIUNGA NA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA
Hawa ruhusiwi. Ni mwiko. Vikosi vyote vya ulinzi na usalama. Yaani traffic officers, mgambo, wajeda, askari wa raia, Vikosi vya zima moto na kadhalika,hadi TISS, hawa wote hawa ruhusiwi kupiga kura.

Ila awamu hii mambo mengi yanafanywa kinyume na utaratibu so usishangae.

Kura wameanza kupiga Tanzania visiwani then ndio tuje sisi Tanzania Bara

Kiongozi aliyemaliza muda wake kuitwa Raisi na kuendelea na majukumu kama vile bado yupo katika ofisi na mawaziri wake.

Mambo ni mengi sana yanafanywa kinyume na utaratibu, miiko yetu, na utaratibu wa kikatiba.
 
oyaa

tunapiga kura na wino tunachovya tukivalia kiraia zaidi

una jingine?
😂😂😂 unapiga kura umevalia kiraia alafu umepigia maalim seif then badae ZEC wanamtangaza Mwinyi mshindi wa uchaguzi.
Then baada ya siku moja Maalim anaitisha watu waingie Bara barani kupinga matokeo
Na wewe unavaa uniform kwenda kupiga watu wabomu ya machozi, vipi utapiga ama utaambatana na waandamanaji na ww kupinga matokeo 😁😁😁
 
Haujui kitu, KWA MUJIBU WA KATIBA WANARUHUSIWA KUPIGA KURA ILA HAWARUHUSIWI KUJIUNGA NA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA
Duuuh...Ebu ngoja nimuulize mshikaji wangu mmoja yupo pale Monduli Millitary Academy labda atanambia majibu sahihi na siyo majawabu sahihi.

sema nahofia saivi atakuwa bize na kazi maana ni uchaguzi.
 
Sina hakika na jibu lako kulingana na nature ya kazi za hawa watu (Polisi +Wanajeshi).
Hivi unadhani ni kwanini Askari polisi na Jeshi hawaruhusiwi kuwa na vyama vya wafanyakazi kama wafanyakazi wengine ikiwa wao watakuwa na haki za kiraia kama raia wengine.
Mfano madaktari wana chama chao kutetea maslahi ya madaktari, walimu wana chama chao cha kutetea maslahi ya walimu na makundi mengine ya wafanyakazi ambayo sijayataja.
Je unadhani ni kwanini polisi na wanajeshi hawana hivyo vyama vya wafanyakazi ikiwa watakuwa na haki kama raia wengine mfano wapige kura na wao wamchague wanaomtaka .
Mkuu,
Hayo ni maswala mawili tofauti unayaongelea kupiga kura ni haki ya raia wote waliotimiza vigezo vilivyowekwa kikatiba.
Screenshot_20201028-082424.jpg

Kutumikia jeshi la aina yoyote hakuathiri uraia wako.

Kuhusu kuwa na vyama vya wafanyakazi viapo vya majeshi ni kutumikia nchi, askari anaapa kuilinda na kuitumikia Tanzania. Hakuna vyama vya mawaziri, raisi hatumikii chama chochote wote hupata kiapo.
 
Wanapiga Ila wanampigia Yule wa kijani na njano
Ila wao hawana chama..
Ila kura wanapiga.ila hawana chama
 
Mkuu,
Hayo ni maswala mawili tofauti unayaongelea kupiga kura ni haki ya raia wote waliotimiza vigezo vilivyowekwa kikatiba.
View attachment 1614278
Kutumikia jeshi la aina yoyote hakuathiri uraia wako.

Kuhusu kuwa na vyama vya wafanyakazi viapo vya majeshi ni kutumikia nchi, askari anaapa kuilinda na kuitumikia Tanzania. Hakuna vyama vya mawaziri, raisi hatumikii chama chochote wote hupata kiapo.
Kwa mujibu wa hiyo reference uko sahihi.
Lakini hadi askari anapiga kura na uniform ki ukweli ilinibidi nishangae kidogo maana pale mwanzo sikuwahi kuona maana hawa wajuba (polisi) jana walikuwa kazini tena bize sana maana hali zanzibar sasahivi nadhani unaiona huko mitandaoni na ndiyo jana jana hiyo hiyo wamepiga kura wao
 
Sasa ilikuaje kule Z'bar kwenda kupiga kura wakiwa kwenye sare zao za kazi??
Kwanini waliruhusiwa kupiga siku moja kabla tofauti na huku Bara??
Mkuu, baraza la wawakilishi lilipitisha hii sheria kwa kufanyia marekebisho sheria zao za uchaguzi. Wao wanajukumu la kutunga sheria juu ya Tanzania Zanzibar. sijafahamu kama bara tuna sheria ya namna hii.Tume imetimiza kile kilichokubaliwa kisheria.
Kuhusu kupiga kura na uniforms inaonyesha hujawahi kushuhudia uchaguzi kabla sheria imekataza kuvaa nguo za vyama kwenye vituo vya kupigia kura hakuna mahali mwanafunzi anakatazwa kuvaa uniform ama mwanajeshi kuvaa sare.
 
Yaani akili zenu Chadema zimejaa uongo na ujinga

Back
Top Bottom