JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

Walivamia kambi ya FFU kulipiza kisasi cha mwenzao kupigwa! Ukapigwa mkono wenzao walivyoona mambo mazito wakalala mbele hao wakadakwa!

Hao ma FFU wenyewe wote wameanzia JKT alafu wakapelekwa mafunzo maalum ya FFU, hapo kama sio komando au kikosi maalum huko JWTZ hutowaweza!

Sent using Jamii Forums mobile app
walipigwa nuwa ya kufa mtu.

5/5.
 
Mkuu vipi mbona unanibania uhuru wangu wa kupenda! Napenda polisi pia napenda harakati za nguli wa sheria Mh Lissu.

Dah unawezaje kupenda ivo vitu viwili kwa pamoja ambavyo havikai sehemu moja yaani ni kama mafuta na maji.
 
80% HAWANA NIDHAMU KABISA KABISA , NDIYO WANAONGOZA KWA RUSHWA NA UNYANYASAJI TANZANIA!!!!!
 
Aisee mkuu hii kitu imekatazwa. Yaani ungeweza kurekodi tukio mpaka muda huu huyo mwanajeshi angekua Segerea ananyea ndoo. Sasa hivi wakubwa wao wameweka sheria kali dhidi ya askari wao ambao miaka ya nyuma kidogo walijitia uwendawazimu ktk matendo yao. Mfano mara kufunga mtaa na kutembeza kisago kwa anayehusika na asiyehusika.
Jeshini kuna sheria kali wengi hawajui kilenkiapo chao cha utii wa sheria kina maana kubwa ukiwapelekea ofisini kwao wana mahakama zao wanamshugulikia kisawasawa
 
Jeshini kuna sheria kali wengi hawajui kilenkiapo chao cha utii wa sheria kina maana kubwa ukiwapelekea ofisini kwao wana mahakama zao wanamshugulikia kisawasawa
Raia tuliowengi ni waoga.na nadhani hata elimu pia hatuna juu ya hawa askari kua mipaka yao ya kazi ni wapi.na kipi akikutendea unahaki ya kwenda kumripoti
 
Back
Top Bottom