JWTZ: Baada ya siku 7 atakayepatikana amevaa, anatumia au anauza mavazi ya Jeshi atapatiwa adhabu kali

Jeshi la Wananchi ( JWTZ) limetoa Siku 7 kuanzia leo 24/08/2023 kwa Wananchi Wenye Mavazi ya Jeshi au yanayofanana na Sare za Jeshi kuyasalimisha Jeshini baada ya Siku 7 Msako mkali Utaanza nchi nzima

Source: Ayo tv
Makubwa aya , wenye mavazi ya jeshi au yanayo fanana na ya jeshi,

yanayofanana na ya jeshi sio mavazi ya jeshi mbona kama madukuni huwa yanauzwa, wauzaji wa nguo anzeni kuzitoa fungasha vizuri peleka huko araka sana
 
Waanze na mwijaku Kisha na huyo jamaa akr
IMG_20230823_153445.jpg
 
Sio vidogo kama unavyodhani.
Kwa akili ndogo hilo ni jambo kubwa, ila kwa akili kubwa hilo ni jambo dogo sana kulingana na wajibu wa jeshi. Kama jeshi halina kazi si vibaya wakafuatilia hayo mambo madogo madogo.
 
Job descriptions ya JW inasemaje,tukienda kisheria kama wasemavyo?
Wizara ya mambo ya ndani,hasa polisi kazi yao nini?
Kuna inshu ya DP WORLD inafukuta,badala yake sisi raia tusio wanajeshi,ndiyo tunachambua mkataba tata,wao wanasaka nguo,ambazo Marekani siyo big deal.Tuna safari ndefu sana.
 
Jeshi la Wananchi ( JWTZ) limetoa Siku 7 kuanzia leo 24/08/2023 kwa Wananchi Wenye Mavazi ya Jeshi au yanayofanana na Sare za Jeshi kuyasalimisha Jeshini baada ya Siku 7 Msako mkali Utaanza nchi nzima

Source: Ayo tv
ujinga mtupu ni sheria ipi inayokataza kuvaa mavaz yanayofanana na yale ya jeshi au sheria inakataza kuvaa sare za jeshi kama sio mwanajeshi hii nchi inaupumbavu mwingi sana.
 
Sare huwa ni utambulisho wa kundi fulani, tuheshimu sare za kila kundi, kama kweli tunapenda kuvaa sare za wengine, kwa nini hatuvai sare za shule ya msingi au chekechea na huu ukubwa?​
 
Kabisaa, hapa naona kabisa mdomo unaenda ponza kichwa
Ule msemo wa kupindua nchi..
Ni kweli wahuni wanaweza valishwa sare wakafanya machafuko kwa sare ili watu washawishike kuwa ni jeshi linapindua nchi.
Kuna kitu kinazimwa kwa utaalam mkubwa sanaaa.
 
Tumepewa siku saba (7) bado hazijafika. Wacha kesho nitinge full combat na kofia. Ili kumalizia malizia ngwe. utani hv inakuwaje mtu anavaa nguo za jeshi!?
 
Back
Top Bottom