0005
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 290
- 444
Sio Kila mtu ana kumbukumbu nzuri za utoto wake. Wengine tumepitia life gum Sana utotoni.
lakini hata hivyo hatukosi Jambo la kutufurahisha Kila tukumbukapo maisha ya utoto tukiwa shule.
Jambo linalonifurahisha nikiwa Mdogo ni pale nilipo mpiga mwalim Kofi kiganjani pake nilipohisi kanichapa kwakunionea ... Yeye akiwa ameketi kwenye dawati lake pale mbele tukiwa tunasahihisha daftari.
I was very young (2001) and I did it bila hasira Wala Nini ... Nilimwambia mwalim "acha ukorofi"
basi darasa likacheeeeeka
πππππ
Mwalim akaniitia wababe wa darasa wakanishika juu juu akanitandika viboko hadi nikajikojolea bhana....
Nililia Sana and still aliposema niseme nimekosa Nikamwambia mwalim "wewe ni mgomvi Sana" .....
Ilikuwa (2001) Kwakweli Walim walikua wanaogopwa Sana back then Sasa hiyo kitu nilimfanyia mwalimu wangu na yeye alivoniadhib kikatili ilivuma karib mitaa yote na shule zingine zote.
Ikafika time Hadi Mimi nikaanza kifurahi na kutaka kusikiliza mtu akihadithia the way nilimrudishia mwalim and nayeye alivonisurubu ...
From the day yule mwalim akawa ananiita "Mwanang" na alinipa kipaumbele kwenye Kila kazi darasani ... Nikikosa alinichapa kikatili Sana Ila alikua ananipemda kwa misimamo yangu.
Hadi namalizia standard seven 2007 alikuwa kolikoli na Mimi.
Alikuja kufariki 2017 kwa ajali akiwa amesalia myezi kadhaa kustaafu. And nilikuwa nna mawasiliano nae mazuri still ...
How bout you .. share tukio lako turefresh akili zetu ....