Bado nalitafuta jumba la kifahari kwenye hizo picha
Amini nakuambia hata akifika 100 bado atakosa watejaHili jumba kutoka 450m sasa ni 180m
Bado wananchi wamelisusa
Mwambie mmiliki aachane na Madalali aende bank kwa watu wa mikopo wampe namba za matajiri wanunue hio nyumba chap Kwa haraka. Kuna matajiri wakipigiwa na bank kuna nyumba inauzwa siku tatu haziishii na huyo jamaa wa bank anapewa na zawadi juu. Nishashuhudia mara nne mjini shule ndugu.OFFER OFFER OFFER
*IMESHUKA BEI JUMBA LA KIFAHARI KIBAMBA KWA TZS. 180m, UNAWEZA KUTUTANGULIZIA 50m UKAINGIA, HALAFU INAYOBAKI UTATUAMBIA UTAILIPAJE *
**Unajua hii nyumba iko Kibamba (Hondogo) ndani ya fence ya Ekari 2 na ina HATI.
3 Kms kutoka Morogoro rd**
.
nyumba ya kisasa mno. Vyumba vitatu, viwili master + Jacuzzi + Heater + AC, Dining, Kitchen, Store,Parking space, frame 2 za biashara. Etc
.
Ekari 1 na robo tatu haijatumika.
.
Unajua barabara inayoingia huko imeshaanza kupigwa lami
.
Bei: TZS. 180m
.
Unajua tuko tayari kulipana kwa installment
.
0717 650800
.
HAINA MGOGORO WOWOTE NA SIO MALI YA KURITHI, MMILIKI YUKO NA INASOMA JINA LAKEView attachment 2550591View attachment 2550596View attachment 2550597View attachment 2550598View attachment 2550599View attachment 2550600View attachment 2550604View attachment 2550606View attachment 2550613View attachment 2550614View attachment 2550615
Ashindwe mwenyewe kufuata ushauriMwambie mmiliki aachane na Madalali aende bank kwa watu wa mikopo wampe namba za matajiri wanunue hio nyumba chap Kwa haraka. Kuna matajiri wakipigiwa na bank kuna nyumba inauzwa siku tatu haziishii na huyo jamaa wa bank anapewa na zawadi juu. Nishashuhudia mara nne mjini shule ndugu.
Usisahau kuwa unayempa ushauri aupeleke kwa mwenye nyumba na yeye ni dalali.Mwambie mmiliki aachane na Madalali aende bank kwa watu wa mikopo wampe namba za matajiri wanunue hio nyumba chap Kwa haraka. Kuna matajiri wakipigiwa na bank kuna nyumba inauzwa siku tatu haziishii na huyo jamaa wa bank anapewa na zawadi juu. Nishashuhudia mara nne mjini shule ndugu.
SawaMwambie mmiliki aachane na Madalali aende bank kwa watu wa mikopo wampe namba za matajiri wanunue hio nyumba chap Kwa haraka. Kuna matajiri wakipigiwa na bank kuna nyumba inauzwa siku tatu haziishii na huyo jamaa wa bank anapewa na zawadi juu. Nishashuhudia mara nne mjini shule ndugu.
Kunywa soda! Rafiki yangu aliuza mjengo wake goba kwa style hii, chap kwa haraka na kwa bei nzuri sana.Mwambie mmiliki aachane na Madalali aende bank kwa watu wa mikopo wampe namba za matajiri wanunue hio nyumba chap Kwa haraka. Kuna matajiri wakipigiwa na bank kuna nyumba inauzwa siku tatu haziishii na huyo jamaa wa bank anapewa na zawadi juu. Nishashuhudia mara nne mjini shule ndugu.
NotedKunywa soda! Rafiki yangu aliuza mjengo wake goba kwa style hii, chap kwa haraka na kwa bei nzuri sana.
Changamoto ni nini mkuu?Amini nakuambia hata akifika 100 bado atakosa wateja
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Huoni nyumba haijajengwa vizuri?Changamoto ni nini mkuu?
ya KISASA MNO!!! madalali moto wenu utakuwa mkali sanaOFFER OFFER OFFER