House4Sale Jumba la kifahari ekari mbili ndani ya fence Kibamba kwa Tzs. 180m tanguliza 50m uingie

Manumba

JF-Expert Member
Nov 6, 2019
1,174
678
OFFER OFFER OFFER

*IMESHUKA BEI JUMBA LA KIFAHARI KIBAMBA KWA TZS. 180m, UNAWEZA KUTUTANGULIZIA 50m UKAINGIA, HALAFU INAYOBAKI UTATUAMBIA UTAILIPAJE *

**Unajua hii nyumba iko Kibamba (Hondogo) ndani ya fence ya Ekari 2 na ina HATI.
3 Kms kutoka Morogoro rd**
.
nyumba ya kisasa mno. Vyumba vitatu, viwili master + Jacuzzi + Heater + AC, Dining, Kitchen, Store,Parking space, frame 2 za biashara. Etc
.
Ekari 1 na robo tatu haijatumika.
.
Unajua barabara inayoingia huko imeshaanza kupigwa lami
.
Bei: TZS. 180m
.
Unajua tuko tayari kulipana kwa installment
.
0717 650800
.
HAINA MGOGORO WOWOTE NA SIO MALI YA KURITHI, MMILIKI YUKO NA INASOMA JINA LAKE
IMG-20220711-WA0006.jpg
IMG-20220721-WA0029.jpg
IMG-20220721-WA0030.jpg
IMG-20220711-WA0009.jpg
IMG-20220711-WA0004.jpg
IMG-20220721-WA0031.jpg
IMG-20220721-WA0032.jpg
IMG-20220711-WA0008.jpg
IMG-20220711-WA0002.jpg
IMG-20220711-WA0000.jpg
IMG-20220711-WA0001.jpg
 
OFFER OFFER OFFER

*IMESHUKA BEI JUMBA LA KIFAHARI KIBAMBA KWA TZS. 180m, UNAWEZA KUTUTANGULIZIA 50m UKAINGIA, HALAFU INAYOBAKI UTATUAMBIA UTAILIPAJE *

**Unajua hii nyumba iko Kibamba (Hondogo) ndani ya fence ya Ekari 2 na ina HATI.
3 Kms kutoka Morogoro rd**
.
nyumba ya kisasa mno. Vyumba vitatu, viwili master + Jacuzzi + Heater + AC, Dining, Kitchen, Store,Parking space, frame 2 za biashara. Etc
.
Ekari 1 na robo tatu haijatumika.
.
Unajua barabara inayoingia huko imeshaanza kupigwa lami
.
Bei: TZS. 180m
.
Unajua tuko tayari kulipana kwa installment
.
0717 650800
.
HAINA MGOGORO WOWOTE NA SIO MALI YA KURITHI, MMILIKI YUKO NA INASOMA JINA LAKEView attachment 2550591View attachment 2550596View attachment 2550597View attachment 2550598View attachment 2550599View attachment 2550600View attachment 2550604View attachment 2550606View attachment 2550613View attachment 2550614View attachment 2550615

Jumba kubwa, ramani ya hovyo, hii mikopo hii, ngumu sana
 
Back
Top Bottom