Jukwaa la Wahariri wampiga BAN Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye Media zote nchini

Wahariri wana njaa sana. Agizo hilo haliwezi kutekelezeka...

Waliwahi kufanya hivyo kwa Juma Nkamia, Tulia Ackson wakaishia wapi?....

Kuna njaa mbaya sana ndani ya media industry. Hilo haliwezekni
Vibaya sana. Yaani ni kati ya tasnia zenye kusalitiana sana, ni kama hawajielewi flani vile! Kuna njaa mno, labda inatokana na kuwa na makanjanja wengi sana wanaounga unga mambo.
 
Excellent indeed!

Kwa maana hiyo hata hapa JF habari zake hatutaki kuzisikia
Napinga hoja, ukifanya hivyo atalala na atadhani kawini. Hapa ndo kazi inaanza chacha. Tunataka waliosoma naye kindergarten, Primary, Sec., Nyegezi na wale ambao alikuwa amelala wakati wanadiscuss kwenye picha wakuje watupe story zao kuhusu yeye.
 
"Waandishi,wahariri wote tunakubaliana, sote tunasema halikubaliki na tunalaani vikali vitendo vya Makonda"
 
Na kwa jinsi anavopenda media, cjui akifanya ziara zake zitarushwa wapi. Labda Instagram page yake na TBC. Maana cdhan kama TBC wataweza kutii amri hii.
 
Na kwa jinsi anavopenda media, cjui akifanya ziara zake zitarushwa wapi. Labda Instagram page yake na TBC. Maana cdhan kama TBC wataweza kutii amri hii.
Alipofikia Makonder sasa hivi hafatwi na media, ila wateja wa media wanamfuata Makonder hivyo media hawana jinsi! Sipati picha magazeti ya Mwananchi, mwanahalisi nk hayana title kubwa ya Makonder ktk front page zao, haiwezekani, magazeti yayawadodea.
 
Back
Top Bottom