mandwa JF-Expert Member Aug 13, 2013 1,469 342 Aug 15, 2021 #2 Ushauri arudi chuo akasome kama inawezekana
MissM4C JF-Expert Member Aug 31, 2012 1,740 1,005 Aug 16, 2021 #4 Ingia mtaaani tafuta habari kali kali, weka blog na youtube na insta uanze kidogo kidogo
Vishu Mtata JF-Expert Member Dec 15, 2019 14,496 32,153 Aug 16, 2021 #5 Journalism naonaga ni fani nayojiuza hivii. 🤔🤔, Yani kidogo ni ina urahisi wa kujiajiri. Ila atapata mkuu, mkiongeza nguvu kwenye kuzitafuta.
Journalism naonaga ni fani nayojiuza hivii. 🤔🤔, Yani kidogo ni ina urahisi wa kujiajiri. Ila atapata mkuu, mkiongeza nguvu kwenye kuzitafuta.
M MINOCYCLINE JF-Expert Member Apr 2, 2015 8,018 16,801 Aug 17, 2021 #6 Vishu Mtata said: Journalism naonaga ni fani nayojiuza hivii. 🤔🤔, Yani kidogo ni ina urahisi wa kujiajiri. Ila atapata mkuu, mkiongeza nguvu kwenye kuzitafuta. Click to expand... Usilolijua ni sawa na Usiku wa Giza hasa.
Vishu Mtata said: Journalism naonaga ni fani nayojiuza hivii. 🤔🤔, Yani kidogo ni ina urahisi wa kujiajiri. Ila atapata mkuu, mkiongeza nguvu kwenye kuzitafuta. Click to expand... Usilolijua ni sawa na Usiku wa Giza hasa.
Vishu Mtata JF-Expert Member Dec 15, 2019 14,496 32,153 Aug 17, 2021 #7 Mightier said: Usilolijua ni sawa na Usiku wa Giza hasa. Click to expand... Kivipi mkuu??