Joti kateleza hapa

Huyo joti naye kavimbiwa afanikio, kwa mimi hapa mwalimu na ninaelekea 50 + years nina konektisheni gani sasa mimi, kuiba chaki au kuuza vitabu vya shule!? Angesema kuna kazi mtu ukizipata unatakiwa kuwa connection ningemuelewa.


Nina jamaa yangu nimesoma naye A-Level yeye sasa ana kazi kubwa tu ndo huwa ananipa connection licha ya umri wangu kuwa mkubwa,umri hauna mahusiano na mafanikio ya mtu
 
Mara ya kwanza kusoma hili bandiko nlitaka kukereka, lkn nlivyosoma comments za wadau ikanibidi nirudia kusoma heading na contents zake. Kwa mbaali nakubaliana na mtoto wa bint Mbala(hii kuonesha Lukasi namfahamu vzr). Ni kweli kuna muda wa kuchacharika ili upate settlement (ueleweke uko wapi, muelekeo wako upi, unafanya nini na watu(vijana aka new comers to the world) wakutafute ili uwaonedhe njia, au watu wapate mapato kupitia wewe! Utanielewa: Miaka karibuni minne nilikaa Same kwa wapare, pale vijana kwa wazee(maambiere) wana kamsemo kuwa ukifika miaka 40, huna mji(sio nyumba tu bali mji wa kueleweka) basi ujijue wewe ni 'kenge' tu (lost)! Mara ya kwanza sikulipenda hilo, lkn baadaye nikaona terminology hiyo inavyofanya kazi kusukuma vijana kuchacharika kutafuta kukimbizana na umri! Yaani kijana aliyemaliza tu form four tayari anaingia to the world kwa biashara, kilimo, shule za juu kama ana fursa na wachache wao kazi za kuajiriwa tena ambayo ataitumia kwa kukusanya pesa(na ubahiri juu) ili atimize lengo lake pengine la kupeleka tangawizi Kenya, vitunguu Tarakea, samaki Dar nk, akikosa badi hata mirungi popote kwenye soko! Wako hivyo yaani ni aggressive na competitive kwenye kutafuta pesa. Akikosa connection hapo, atapotea, utasikia yupo Nairobi, South Sudani, Dar hata pengine Ulaya ili hatimaye sje aporomoshe mjengo hapo Same, Gonja, Suji, Hedaru, Chome! Fuatilia owners wa zike nyumba, ni vijana, mostly b4 40 yrs of age! Hii haijalishi 'jinsi' both sex wapo vzr! Na kwenye mikusanyiko, say misiba ndiyo utawafahamu, maana ndiyo wanakuwa 'topic' hapo jinsi alivyoanza na anamiliki nini! Sasa nimerudi Dar, doh! Mpangaji wangu wa chumba kimoja miaka 20 iliyopita bado yumo humo na ndiyo kwanza ananiomba nijenge uwani ili watoto wake wameshakuwa hivyo wanashindwa kujisitiri🤭! Aliyeajiriwa anapiga mahesabu ya kiinua mgongo ndiyo akajenge banda akajibanje na wajukuu wake waliozaliwa nyumbani! Hiyo nimetoa mfano wa Same, Mwanga, Chekereni, Soko, Ndungu bila kutaja vijana wa Njia panda ya Moshi/Marangu mpaka Tarakea/Horiri wachagga, wengi mnawafahamu kwa kutafuta hela kuanzia kusafishs viatu, kuchoma nyama mpaka kushika nafadi maofisini! Ninachotka kusema, tuwe na time frame ktk miska ya kutafuta na ku settle, la sivyo tutaendelea kuwa watumwa maisha yote. Joti yupo sahihi na sio nyodo bali kuwrka msukumo ili nawe uwe connection badala ya una miaka 55 bado unakuja kwake eti kuomba connection!
 
Back
Top Bottom