Joshua Nassari wacha hadaa kwenye media

kwani hakuna watu wanaofidiwa Na bado wanagoma kuondoka mpaka waondolewe kwa nguvu? ndivyo ilivyokuwa kwa huyu mwekezaji.
 
Nassari anadaiwa vitanda alivyoahidi kwenye hospitali ya wilaya...wameru hawasahau
 
Unahangaika bure na chuki zako binafsi waambie majizi wenzako huko arumeru kimeshanuka wananchi wanataka mashamba yao.
 
Chuki binafsi zitawamaliza nyinyi kizazi cha lumumba,
 
Nani alikulazimisha kuiangalia itv?siunge angalia li tbc lenu?
 
Buku 7 zinakusubiri lumumba
 
yaani Nassary kadanganya umma eneo analosema kalikomboa tayari lipo chini ya almashauri.
Boss wacha kudanganya, Eneo lilikuwa chini na wamiliki wa Aula na Rotterdam Gardens mpaka madiwani walipovunja.

Halmashauri (baadhi ya watumishi wasio watiifu) waliliuza Kwa wamiliki hao ilihali tayari wananchi walishaondolewa na kuhamishwa.
 
eneo lilishatwaliwa na halmashauri baada ya kuwalipa wananchi fidia.kwa kawaida habari huonyesha pande 2,umeona waliobomolewa,Nassary kamlipa mamilioni ili aigize kubomoa.
Kwahiyo Unataka kutudanganya kuwa Nassari kawalipa wawekezaji? Mkuu huu ni uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…