Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,104
- 2,549
kwani hakuna watu wanaofidiwa Na bado wanagoma kuondoka mpaka waondolewe kwa nguvu? ndivyo ilivyokuwa kwa huyu mwekezaji.
asante kwa kuja.Thibitisha!!
wacha kuwa misukule ya mbowe...moshi unaishi wapi?Kumbe mnatazama ITV, fuatilia TBC mkuu na Star tv maana hawaudhi wanaonyesha mazuri ya Magufuli tu
Hata Magu anadaiwa mambo kibao. Unafikili ataleta kwa siku moja!Nassari anadaiwa vitanda alivyoahidi kwenye hospitali ya wilaya...wameru hawasahau
wacha kuwa misukule ya mbowe...moshi unaishi wapi?
Habari ya wakati huu!
Nimecheka sana leo kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku niliposhuhudia Mbunge wa Arumeru Mashariki akiwaongoza madiwani wa meru kubomowa eneo eti kwa hadaa kuwa kuna mwekezaji kavamia.
Naweka kumbukumbu sawa hao wenye eneo walikuwa ni wamiliki halali ila halmashauri ya meru imewapa fidia ya eneo mbadala eneo la madira....Nassary alifanya mpango mabati yasiondolewe ili kuhadaa wananchi kuwa ametetea ardhi ya wananchi.
Tulichoshangaa leo ITV hawajamhoji aliyekuwa mwenye eneo,huu ni upungufu mkubwa...nilikuwa hapo Meru kikazi nimeondoka jana.
Nassary rudi bungeni ukajenge hoja na sio kukodi genge la vijana ambalo hata halikuwa na hamasa....yaani madiwani mnatoka mkutanoni kubomoa?...aibu!
Mbowe warudishe wabunge wako katika mstari la sivyo watachokwa.
Tuache hadaa!
Chuki binafsi zitawamaliza nyinyi kizazi cha lumumba,Habari ya wakati huu!

Nani alikulazimisha kuiangalia itv?siunge angalia li tbc lenu?Kwa hiyo unasema kuwa huyo mbunge alikuwa kwenye pilika za kutafuta kick?. ITV waliniboa siku chache zilizopita. Waliiweka habari ya waandishi wao kutwaa tuzo kuwa ni ya kwanza halafu habari sensitive ya ajali iliyochukua maisha ya watu wanne huko nyanda za juu kusini, ikawa ya pili katika habari za kitaifa!.
Wana mbwelambwela tu kutafuta kuonekana lumumbaSielewi hoja yako hapa ni nini.
Buku 7 zinakusubiri lumumbaMkuu, jinsi ambavyo unavyoziona sekta nyingine zikianzishiwa mamlaka ili ufanisi wa kazi uweze kufuatiliwa, ndivyoi ambavyo sekta ya habari inavyohitaji kuundiwa mamlaka itakayosimamia uwepo wa viwango vya habari za nchi hii. SUMATRA, EWURA na wengine kama hizo taasisi, pia habari zinahitaji kuwa na mamlaka makini, zitakazoondoa ukanjanja wote unaoshusha viwango vya habari.
Mkuu, mwanasiasa ambaye uhai wa uanasiasa wake hutegemea ridhaa ya wananchi siku zote hutafuta nafasi ya kuuza sura. Kwa wasiofikiria mambo kwa undani tayari mbunge huyo keshajipatia maujiko.
Wewe una vidonge gani?Ha ha, kidonge kimeingia kwenye damu, wadudu wote wa ugonjwa wako njiani kufa.
Boss wacha kudanganya, Eneo lilikuwa chini na wamiliki wa Aula na Rotterdam Gardens mpaka madiwani walipovunja.yaani Nassary kadanganya umma eneo analosema kalikomboa tayari lipo chini ya almashauri.
Kwahiyo Unataka kutudanganya kuwa Nassari kawalipa wawekezaji? Mkuu huu ni uongoeneo lilishatwaliwa na halmashauri baada ya kuwalipa wananchi fidia.kwa kawaida habari huonyesha pande 2,umeona waliobomolewa,Nassary kamlipa mamilioni ili aigize kubomoa.
Punguza jazba.Huwezi,mwambie mbowe akurudishie akili zako utaona.
Ujaona au ujapenda kilichoandikwa.Sijaona point kwenye thread yako. Samahani lakini
anaishi kwa mama yako umemsahau?