Joshua Nassari: Nchi imewekwa mfukoni na mhindi

Bora imilikiwe na wabongo kuliko wahindi, au na wewe nenda India uone kama utapata kitu
si umesikia bungeni waziri wa ardhi amemwambia mbunge wa monduli watamnyanganya shamba lowasa kigawiwe kwa wananchi mgeni hawezi kuja na kupata ardhi kienyeji bila kushirikiana na wazawa wala rushwa
 
Akichangia hotuba ya wizara ya ardhi na makazi, mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari amesema kuna wafanyabiashara wakubwa wanaosababisha migogoro ya ardhi kwa kuchukua ardhi ya wananchi iliyokwisha tolewa na serikali kwa wnanchi, lakini serikali haichukui hatua na wananchi wanaonekana ndio wamevamia mashamba ya muwekezaji huyo
Mojawaponi mhindi muwekezaji mwenye uraia wa Uingereza, anayeishi Tanzania anamiliki ardi,

Ardhi imefutwa na rais leo anaendelea kuimiliki na anaendelea kuiuza pia ametolea mashamba mengine mengi ambayo yameshatolewa na serikali kwa wananchi lakini wawekezaji hawataki kuyatoa, msikilize hapa


politics politics politics politics!!!!!!!!!
 
Hawa watu akili zao ni kama wameshikiwa! Hoja iliopo ni ardhi iliochukuliwa na serekali muhindi bado anaendelea kuimiliki, kwamba serekali ione na imchukulie hatua, wapuuzi eti MBONA LOWASA ALIFANYA HIVI AU ALIFANYA VILEVILE!? sijui ccm imewaloga!? Hawajielewi"
Hawa hawa wanaosema hayo Magu akianza kunyang'anya watu mashamba watamuita dikteta. Tumewazoea wanatafuta njia ya kupata mada bungeni
 
Hawa watu akili zao ni kama wameshikiwa! Hoja iliopo ni ardhi iliochukuliwa na serekali muhindi bado anaendelea kuimiliki, kwamba serekali ione na imchukulie hatua, wapuuzi eti MBONA LOWASA ALIFANYA HIVI AU ALIFANYA VILEVILE!? sijui ccm imewaloga!? Hawajielewi"
Mkuu hawa vilaza wa "ULEVINI" Lumumba wanakera sana kila kitu wao ni kutema pumba tu
 
Nassari aache usanii ...kama kweli ni mzalendo angolee ardhi ya Dolly Estate ambayo alihamasisha wananchi waichukue....

Akishindwa aongelee ardhi iliyouzwa kihuni ya Shamba la madeera!
Utetezi wako hasa ni nini?
 
Back
Top Bottom