Josephh Mbilinyi (Sugu): Makonda akapimwe kwa mkemia mkuu wa serikali

Status
Not open for further replies.
Inasikitisha sana kuona mipasho ya kitoto kwenye mambo yanayotaka hoja maridhiha. Marinda ni mipasho tu ya mitaani.
 
Inamuuma sana konda kutokumlaza mbowe polisi leo ijumaa, na hatapata nafasi hiyo tena.

Alitaka magu amuone yeye ni kiboko ya wapinzani, matokeo yake ameonekana yeye ndio ana roho mbaya na anataka kuivuruga nchi.

Na sina shaka magu ameanza kuhisi alikosea katika uteuzi wake , na hatarudia kumsifu mtu hadharani kabla ya kumpa cheo.

Na ndio maana ameteua watu mara moja wa kutatua tatizo hili sio makondakta mjinga anaetaka sifa tu. Huu mkoa umemshinda lukuvi yeye nani !?
 
""Hatuez kwenda kibabe kibabe namna hii tutavuruga nchi" - Spika Ndugai.

" Kama judicial sytem yoyote inamujitaji mbunge wangu lazima wapitie kwangu no way out " - Spika Ndugai

Wakuu:
Huu ni ujumbe tosha kwa wahusika.
Na hii haijawahi kutokea katika historia ya nchi hii.
Inawezekana kuna tatizo la watu wa hovyo katika hizo nafasi.
 
Ayo TV imeshapewa kibali kuendelea kurusha matangazo?

Ndugai aendelee hivi, atajijengea heshima na kuwa kiongozi anaeweza kuliunganisha na kuwaleta pamoja wabunge.
CCM Wanamuandaa Tulia awe spika Rungwe wanamuandalia Jimbo Ndugai atapigwa chini naota tuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom