The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,891
Ndugu yangu hawa wazee sio wanafiki kulikua na vikao baada ya jecha kufuta uchaguzi ,na vilishirikisha watu wazito ambao ilitegemewa wangukuja na suluhisho la haki .lakini ni wiki moja tu nyuma ndio taarifa za kuvunjika yale mazungumzo ndio zimetoka.kama wangeingilia mazungumzo yale wangeonekana hawana heshma hasa hasa kwa mzee mwinyi .Unafiki at work,kabla JECHA hatajatangaza tarehe ya kurudia uchaguzi,walikuwa kimyaa,Kama kweli wanania nzuri na Zanzibar kwanini hawakuongea siku JECHA alipotangaza kufuta Uchaguzi..Tatizo wazee wetu wamejaa unafiki.
ccm zanzibar inacheza FUTUHI ngoja tuone kama wanzabari wataangaliamkurugenzi wa taasisi ya mwalim nyerere mhes joseph butiku ametaka haki itendeke zanzibar kwani haiingii akilini kua wazanzibar walipiga kura alafu wanaambiwa warudie tena kupiga kura huku wakiwa hawajaambiwa ni nani aliharibu kura walizopiga mwanzo amechukuliwa hatua gani,
Na mambo mengine mengi yasiyoeleweka huyu ana ungana na waziri mkuu wa zaman ndugu Salim Ahmed ambae pia anataka haki itendeke kwa kumtangaza mshndi wa uchaguzi wa Oct 25
Better late than never.Walikuwa wapi siku zote
Baada ya kutangaza ndo ikawa confirmed --uchaguzi unarudiwa. walifikiri mazungumzo yaliyokuwa yanaendelea yangezaa matunda ya maana--Unafiki at work,kabla JECHA hatajatangaza tarehe ya kurudia uchaguzi,walikuwa kimyaa,Kama kweli wanania nzuri na Zanzibar kwanini hawakuongea siku JECHA alipotangaza kufuta Uchaguzi..Tatizo wazee wetu wamejaa unafiki.
Baadhi hadi tanuri la jehanamu are demanding preferential treatment. Bure kabisa.Baadhi ya wana CCM wameanza kujitambua, endeleeni mtauona ufalme wa Mungu siku ya mwisho
Mkuu Umenena Vyema Kabisa, Kula Gwala!!Unafiki at work,kabla JECHA hatajatangaza tarehe ya kurudia uchaguzi,walikuwa kimyaa,Kama kweli wanania nzuri na Zanzibar kwanini hawakuongea siku JECHA alipotangaza kufuta Uchaguzi..Tatizo wazee wetu wamejaa unafiki.