George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,524
- 6,013
Hata Mimi hiyo dogo imenishangaza KIDOGO...Yani haka kademu si kameliwa uroda na Diamond leo anamwita dogo? Hatari sana.
labda bwana SIMBA hakusimamia SHOW vizuri..!
Hata Mimi hiyo dogo imenishangaza KIDOGO...Yani haka kademu si kameliwa uroda na Diamond leo anamwita dogo? Hatari sana.
Kipindi Niko dogo...
Nilikua nikikaa na Dada zangu,wakiwa wanapiga umbea walikua wanapenda sana kulitumia hilo jina...
Utasikia "si yule mzurimie"
Dada zangu walikua wambea sana aisee...
Sasa nikiiona hiyo ID yako najikuta natabasamu tu..!
Ehehhehehe sio ndomo mkuu?kibakuli kazidisha mambo ya kike sana
When DD davido say that?Hapana me sijidanganyi mkuu ispokuwa huo ndo ukweli, davido na wizkid walikuwa hv hv ila yakaisha na kila mmja ana 50 zake, hili bifu litaisha pale ambapo kiba atakubali kuwa hana kitu cha kuji compare na Diamond, km ilivokuwa kwa davido kukili 2 kuwa wizkid sio msanii wa kulinganishwa nae na hapo ilikuja baada kujinufahisha sana na hilo bifu coz liliwapa show na deal nyingi, ndo km ilivo leo bongo kiba ni msanii wa pili kwa kulipwa hela nyingi kwenye show nyuma ya Diamond kwa ajili tu ya kushindanishwa na Diamond, so utaona ni jinsi gani hili bifu linampa faida kiba
Na kuna kila sababu ya wao kuyamaliza km utafata mtiririko wa matukio, kuanzia Alikiba kumuombea kura chibu, reymond kumtaja kiba, babutale kuonesha video ya picha ya kiba, sallamu kumpost kiba, zari kupost nyimbo ya kiba, and now jokate, ss utahitaji dalili gani ingine ili ujue kwamba hii issue inaenda mwisho
Hao wote wanafanya hayo kwa kupata ruhusa kutoka kwa wahusika, haiwezekani eti zari apost nyimbo ya kiba bila kupatq go ahead kutoka kwa Diamond, pia jokate nae hawezi kupost bila go ahead kutoka kwa kiba, haya mambo ndo km yanayoenda kwa wema na diamond, leo wanapeana support insta ila ilikuwa sio rahisi
When DD davido say that?
Acha kuropoka ww
Mkuu,hawa watoto ni kiki tu..Yani haka kademu si kameliwa uroda na Diamond leo anamwita dogo? Hatari sana.