Jokate: Fomu ya urais ni moja tu

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
760
933
"Ndugu Vijana wenzangu, Secretariat ya CCM katika mapokezi yake ilisema wazi kuwa katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 itatoa fomu 1 kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye si mwingine bali ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, vilevile kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar ni Dkt. Hussein Mwinyi.

Nami kwa Niaba ya Viongozi wakuu wa Jumuiya yetu hii ya Vijana niwaeleze kuwa, Jumuiya yetu imepokea msimamo huo na tutazisaka kura zote mtaa kwa mtaa hadi tuhakikishe Viongozi wetu hawa watashinda kwa kishindo". - Ndugu Jokate Mwegelo Katibu Mkuu UVCCM (T)
20240421_060409.jpg
 
"Ndugu Vijana wenzangu, Secretariat ya CCM katika mapokezi yake ilisema wazi kuwa katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 itatoa fomu 1 kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye si mwingine bali ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, vilevile kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar ni Dkt. Hussein Mwinyi. Nami kwa Niaba ya Viongozi wakuu wa Jumuiya yetu hii ya Vijana niwaeleze kuwa, Jumuiya yetu imepokea msimamo huo na tutazisaka kura zote mtaa kwa mtaa hadi tuhakikishe Viongozi wetu hawa watashinda kwa kishindo". - Ndugu Jokate Mwegelo Katibu Mkuu UVCCM (T)
Wanasiasa uchwara kama hawa. As long as wako pale kwa kutumia njia za mkato, matamshi yao ni uchwa tu!
 
kuna serikali ya mbinguni na serikali za wanadamu. Kufanya kazi kwenye serikali ya mbinguni ni raha sana. Yaani katika ufalme wa Mungu. kimsingi serikali za wanadamu, mkuu wao ni ibilisi aitwaye sheitwani. [mkuu wa ulimwengu huu], "mungu wa dunia hii" 2Kor 4:4.
mungu inayoanza kwa herufi ndogo
 
"Ndugu Vijana wenzangu, Secretariat ya CCM katika mapokezi yake ilisema wazi kuwa katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 itatoa fomu 1 kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye si mwingine bali ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, vilevile kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar ni Dkt. Hussein Mwinyi.

Nami kwa Niaba ya Viongozi wakuu wa Jumuiya yetu hii ya Vijana niwaeleze kuwa, Jumuiya yetu imepokea msimamo huo na tutazisaka kura zote mtaa kwa mtaa hadi tuhakikishe Viongozi wetu hawa watashinda kwa kishindo". - Ndugu Jokate Mwegelo Katibu Mkuu UVCCM (T)
View attachment 2969589
Sasa, hv kila mtu ni chawa tu, wasomi, vilaza,wote ni shida tu
 
"Ndugu Vijana wenzangu, Secretariat ya CCM katika mapokezi yake ilisema wazi kuwa katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 itatoa fomu 1 kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye si mwingine bali ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, vilevile kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar ni Dkt. Hussein Mwinyi.

Nami kwa Niaba ya Viongozi wakuu wa Jumuiya yetu hii ya Vijana niwaeleze kuwa, Jumuiya yetu imepokea msimamo huo na tutazisaka kura zote mtaa kwa mtaa hadi tuhakikishe Viongozi wetu hawa watashinda kwa kishindo". - Ndugu Jokate Mwegelo Katibu Mkuu UVCCM (T)
View attachment 2969589
Yale yale ya MAGUFULI na MEMBE
 
Kuna wanawake wana roho ngumu sijawahi kuona . Kutoa fomu Moja maana yake hakuna mtu mwingine anayefaa? Mwaka 2030 mtatoa fomu 3000.​

"Ndugu Vijana wenzangu, Secretariat ya CCM katika mapokezi yake ilisema wazi kuwa katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 itatoa fomu 1 kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye si mwingine bali ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, vilevile kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar ni Dkt. Hussein Mwinyi.

Nami kwa Niaba ya Viongozi wakuu wa Jumuiya yetu hii ya Vijana niwaeleze kuwa, Jumuiya yetu imepokea msimamo huo na tutazisaka kura zote mtaa kwa mtaa hadi tuhakikishe Viongozi wetu hawa watashinda kwa kishindo". - Ndugu Jokate Mwegelo Katibu Mkuu UVCCM (T)
View attachment 2969589
Na iwe hivyo!
 
Na kwa nini iwe fomu moja tu! Kwa akili na mitazamo ya aina hii, haihitaji mtu kuwa na akili nyingi kugundua ya kuwa hata ndani ya hiyo ccm yenyewe hakuna kitu kinachoitwa demokrasia.
Kwani tangu lini ilikuwepo ??!
Ikiwa hata mawazo mbadala tu hutakiwi kuyatoa hadharani ! Hiyo itaitwa ni demokrasia ??!

Huyo Jokate ukimuangalia hapo kwenye picha sura yake imeshakuwa ya kikatili ! Ndivyo wanavyotakiwa kuwa hivyo !
Hakuna Demokrasia ipo Domokasia !
Ukiongea tofauti na wanavyotaka kusikia utashughulikiwa !!
 
Back
Top Bottom