John Mnyika, Sio rahisi CHADEMA kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani na kinachochochea maendeleo bila kuzingatia haya

Yaani watu wanabweka kwa habari ya chadema.dah
Yaani laiti ungekuwa mtaani na watu kidogo walioenda shule ukawafanyia tu kautafiti na kupima upepo wa kisiasa usingefanya hitimisho la hivi.
CHADEMA NI KAMA JIBYA LISILIPOTEZA MWELEKEO wa NJIA JAPO MILUZI Ni Mingi.
watu waendelee kujifariji nyuma ya keyboard zao kwamba chadema itakufa kama wanavyoitabiria.
 
Umeshindwa kuielewa azma au wazo langu. Chama kitabaki na washabiki wa kisiasa tu sio uungwaji mkono wa halaiki mjue mnaenda kwenye uchaguzi kutokea shimoni, kulikuwa hakuna bunge live Wala mkutano wa siasa bila kujipanga sawasawa mtaishia hoja za tundu lisu kupigwa risasi tu na kusaahau matatizo ya watu
 
Nawe hujanielewa.sijaandika kwa mihemko ya sijuhi tundu kupigwa risasi... HAPANA...labda tumeshindwa kuelewana
 
Mkuu William Mushumbusi, bandiko lako hili, neno!. Kwanza naunga mkono hoja, na kukupongeza kuishauri Chadema kwa nia njema kabisa at this critical moment kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa rais na wabunge mwezi October mwaka huu ambapo ni miezi miezi 4 tuu imebaki kufikia uchaguzi.

Japo umependekeza mambo mengi makubwa na mazuri, lakini kwa muda uliobaki, it's already too little too late kwa Chadema kujiokoa na kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani kwa huku Tanzania bara, kwasababu ya kiburi tuu na jeuri yake kwa kutia pamba masikioni na kutosikiliza ushauri wa yeyote, hivyo kwa muda huu, kwa vile tayari imeisha ona dalili za kwenda kuwa wiped, katika kutapatapa kujiokoa labda this time wanaweza kusikia ushauri wako huu.

Hizi ni shauri mbalimbali kwa Chadema toka 2010 kwa ajili ya uchaguzi wa 2015, na 2015 kwa ajili ya uchaguzi wa 2020, na kila kwenye ushauri, niliweka faida za kufuata ushauri huo kwa kuonyesha matokeo chanya tarajiwa na pia kuweka angalizo la the consequences za kupuuza ushauri huo.

If you have time

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!.

CHADEMA msipuuzie ushauri hata kama ni kutoka kwa shetani!, S'times the devils does good deeds!.

CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!

CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!

Wito CHADEMA: Kuweni na Shukrani, Punguzeni Kulalamika, Shukuruni kwa Yote. Ile Kesi Mbaya! Shukuruni Mahakama, Mashinji, CCM, Magufuli na Watanzania.

Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

Uchaguzi wa 2020, Kukumbuka shuka kumekucha, is it too little too late kwa CHADEMA or better late than never?

Wish you all the best ushauri wako kufuatwa.
P.
Hizi ni hoja za kuhalarisha kuiondoa CHADEMA kushika dola au kuiondowa kuwa chama kikuu cha upinzani au hata KUKIFUTA kabisa.Lakini ukweli utabaki pale pale.CCM ya sasa hasa awamu hii,haiwezi kushindana na CHADEMA katika uchaguzi ulio HURU NA WA HAKI.HAIWEZI.Kwa bahati mbaya sana dhamira ya kuifuta CHADEMA imekuwa ya wazi na kubwa mno, kwa hiyo mshangao wa kushindwa kwa CDM awamu hii ni mdogo sana ukilinganisha na mshangao utakaokuwepo kuiona CDM ikifanya vizuri katika uchaguzi
huu kwa mazingira ya siasa za awamu hii.
 
Huu ni waraka wazi kwa John Mnyika Kama katibu mkuu mpya wa CHADEMA, Katika mazingira yaliyopo kunakitu Chadema kimekosa na kinaitaji marekebisho kadhaa ili kwa uwazi kionekane ni chama Cha kuwasemea watu na sio kukosoa tu na hivyo kuonekana ni chama adui kwa jicho la usalama na ustawi wa nchi

Kuna vitu vitatu muhimu CHADEMA inapaswa kuchukua hatua ili kuwa chama chenye nguvu zaidi.

1. Kiache kuwa chama Cha kupiga majungu au kutoa ukosoaji au propaganda Bali kiwe NI chama kinachoweza kutoa na kuzitangaza Sera zake mbadala bila kukashifu au kutukana mtu.

Wanao wajenga Sera wazuri, pia watumie wataalamu kuona namna Bora ya kusimama na kueneza Sera zao vizuri. Sera zao zikiwa wazi, nzuri na zinazoeleweka kunakuwa hakuna haja ya kuwa na akina kigogo au kimambi hakika chama kitajitangaza chenyewe.

2. Kiwe na majibu ya kero za watu sio kulalamika bila kuweka suluhisho wazi. Lazma waoneshe watu vipi wanaweza kuongoza, Mfano kwenye swala la kikokotoo ni busara za Bulaya na Mnyika kutoa hoja bila kutukana Wala kukashifu ziliwasaidia wastafu kwani Raisi aliwasikia na kuchukua hatua.

Unapokuwa chama pinzani lazma ufurahie matatizo ya watu yakitatuliwa kupitia Kazi yako ya siasa na sio kufuraia watu kuumia ukijipa moyo eti ni mtaji wa kisiasa. Pamoja na matatizo mengi kufanyiwa Kazi lkn upinzani umekua Sana nchi za Magharibi sababu vyama vinajitangaza kwa Sera Safi. Sikufuraia kabisa jinsi mdee alivyozifunga hoja za umuhimu ya watoto wa kike kuendelea na masomo kwenye furushi la kashfa, zarau na kejeri kisa tu anaamini havunji Sheria

3. Kije na majibu ya kero zote za watu, Nchi zinazoendelea ata Kama kiongozi akiwa mzuri vipi kero hazikosekani na NI nyingi mno. Cha kushangaza CCM kimekuwa aware na kero na kujua maisha ya watu kuliko ata upinzani. Bei ndogo ya mazao, mifumo mibovu ya ununuzi mazao,Bei Kali za viwatilifu,pembejeo na mbegu.

Haiwewezekani Bei ya kg moja ya mbegu ya mahindi iwe ZAIDI ya Bei ya debe mbili au kg 40 za mahindi. Mnakuja na wazo gani hapo. Inakuwaje land Locked country Kama Uganda kuwa na Bei nzuri ya bidhaa za viwandani kutoka nje, Bei juu ya mazao Kama kahawa Hadi watanzania tuna karibu kupeleka kwao kimagendo. Nje na utafiti NI kwanini iko ivyo na mtabadili vipi Mambo....

4. Msije na Sera kwenye misaafu watanzania hawawezi kusoma misaafu. Andaeni vijarida vyenye maelezo machache na picha. Fanyeni Kama wamisionari walivyoandaa vijitabu v na vijarida vya hadithi za biblia ili watu ziwafikie kila Kona. Mfano mnaweza kuandaa vijarida vidogo Kama Ishirini tofauti vyenye vipande vya Sera kwenye kundi Fulani la watu.

Mfano watumishi wa umaa, wafanyakazi sekta binafsi, Wakulima wa mazao tofauti Kama pamba, tumbaku, kahawa, Michele, mahindi, korosho, choroko,alizeti. Mfano Chadema na Wakulima wa pamba, Mnaonesha kero zao,mfano kuanza kukopwa, urasimu wa ushirika, viwatilifu kuwa Bei juu na mbegu Bora. mlichopanga kuwafanyia kuondoa kero mfano Bei ya pamba kutajwa kabla ya kuanza kulima, kugawa viwatilifu na mbegu bure kwa kufidia kwenye tozo, kuruhusu wanunuzi huru bila kulazmisha ushirika, (Nasisitiza utafiti NI kitu Cha msingi hapa) na kuzitatua na kuzigawa sehemu wanakolima pamba.
Vijarida hivyo viwe huru kupigwa kopi na kugawiwa watu husika. Napenda upinzani unaoanika Sera sio mivutano kila siku.

5. Cha mwisho na muhimu kuliko vyote jaribu kuepuka hasira na visasi kwenye kampeni na kuhakikisha wagombea wenu ata moja hakatwi. Ukiongozwa na hasira Huwezi kufanya lolote.

Naamini kinachoweza kuwabeba sad NI Sera Safi na namna Bora ya kuzifikisha kwa walaji kwa kuzingatia Hali halisi.

Labda mjiulize kwenye utawala wa makaburu Mandela aliweza vipi kutoacha ajenda yake ya kupigania usawa. Unazani angeongozwa na hasira angehubiri Nini dhidi ya wazungu. Labda angehamasisha wazungu wachinjwe. Lakini hakuongozwa na hasira katu. Ata wazungu waliposikia hotuba zake walimuelewa vizuri. Au mnajifunza Nini kupitia kwa Martin Luther King kiongozi wa waafrika Marekani. Je aliweza vipi kutoa hoja za kudemaand usawa bila kuchochea chuki. Kwa speech alizokuwa akitoa aliwavuta adi wazungu kwa asilimia kubwa. Wazungu waliamini angeweza kuwa ata Raisi wa Marekani. Kwenye mazingira ambayo watu weusi walikuwa wakinyanyasika kabisa. VIP Luther aliweza kuzuia chuki zake na hasira zdhidi ya wazungu.
Unapokuwa unajitahidi kutafuta Lungu linalotumika kukupiga Kwanza usiwe na dhamira ya kutumia Lungu Hilo kuja kufanya kisasi, pili lazma uoneshe wazi kuwa huna Nia ya kuja kukomoa mtu. Lazma Chadema ioneshe viongozi wa CCM hasa maraisi wastafu Yani walioshika
Rungu watakuwa salama na kuheshimiwa
mno kipindi wao wakiingia madarakani.
Ushauri wako ni mzuri kwa CHADEMA,lakini ingekuwa vyema pia mkaishauri mamlaka iwaache watanzania wawachaguwe viongozi wao wanaowataka kupitia Tume Huru ya Uchaguzi.
 
"KAZI YA VYAMA VYA SIASA VYA UPINZANI SIYO KUORODHESHA MATATIZO YALIYOPO" By: Dr. Bashiru Ally (kipindi hicho akiwa ni mhadhiri wa UDSM)
 
Mtoa umejitahidi kueleza ila maelezo yako Kama naona yanaongozwa na hisia za kupenda chama kilichopo madarakani

Binafsi sioni kama CHADEMA kinakashfu uongizi ila mara nyingi ukweli ndio unauma tatizo uongozi uliopo madarakani hautaki kuekezwa ukweli na hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi tutashuhudia mengi tu viongizi wengi wa vyama vya upinzani watawekwa ndani kwa kisingio hicho hicho cha kuikashfu serikali
 
Shida ya Chadema nyingine kuu NI kuwa na watu waropokaji, wenye hasira, walizimishajj na sio wajenga hoja. Nje labda ya hasira zidi ya watawala Chadema imewezaje kuanika Sera na mitazamo inayoamini kwenye jamii yenye uelekeo wa kutatua kero zao ZAIDI ya kusema tunataka ikulu. Nje kwa hoja Kama wasomi sio hasira
Kwahiyo ww hulazimishi??
 
Hatuko tyr kushauriwa na walamba viatu vya watawala...yaan unaanzaje kushauriwa na msaka tonge ??? Team kujipendekeza na kujitoa ufahamu ??? Tukutane October tu
 
Issue mleta mada anampigia mbuzi gitaa.Hayo aliyoshauri chadema wameshauriwa Sana wakaziba pamba masikioni.Sasa watakumbuka shuka wakati kumekucha?

Chadema kilikuwa na agenda wakati wa Do slaa na kilijipambanua wazi kuwa chenyewe agenda Yao moja tu kupambana.na mafisad was pesa za ndani na nje.Kikajijenga wananchi wakakielewa.Slaa kuondoka chama.kikapoteza dira Sasa hivi imekuwa kinyume CCM ndio inapambana na mafisadi Chadema ndio.mtetea mafisadi na hawaeleweki hata wanasimamia Nini

Uroho wa kutaka Kuingia ikulu harakw haraka Waka absorb mafisadi kwenye chama ,uliwaponza hawajui kuwa ile Ni process ndefu inayotaka chama kiwe focused kwenye agenda inayokubalika na wengi kwa muda mrefu .Agenda ya kupambana na ufisadi ilikuwa sahihi wange stick Hapo hapo sababu ndipo papowapa political mileage na kukubalika na wananchi.CCM imebeba hiyo agenda wamebaki watupu hawaelewi hata pa kusimamia .Ufisadi umebski ndani ya chama Mbowe anatuhumiwa kulsmba bilioni nane!!! Moral authority ya kukemea Ufisadi Hakuna!!!

Stability ndani ya chama hamna , demokrasia.hamna watu wakiondoka yanatolewa majibu rahisi ohh wamenunuliwa na CCM !! Sasa wameanza kutimukia NCCR hawaelewi wasemaje!! Chama kinavyopukutika wao wanasema chadema Bado imara!!

Hiki chama kilijitaji sura mpya kukirudisha enzi za dk slaa kinaenda kuwafia akina Mbowe mikononi mwao na halima mdee wake
Hatuko tayar kushauriwa na mambulula wa ccm....hatutaki na endeleeni kujifurahisha
 
CCM tunajua makubaliano yenu yote na baadhi ya wanasiasa wa Upinzani wenye njaa - hicho mnachokifanya ni dhambi kubwa mno - Kutumia njaa ya mtu ili awasaliti wenzake kwa ujira wa vipande 30 vya fedha hiyo ni dhuruma kubwa mno, hata vitabu vya dini vimeandika hivyo.

Leo mnajua fika kabisa kwamba wananchi hawawataki, wameshawachoka ila mnatawala kwa mabavu.... mnakesha kutunga sheria kandamizi za uchaguzi sababu mnajua msipofanya hivyo basi mtaambulia patupu... eti nakala ya matokeo kituoni si lazima apewe wakala...duh !!

Mmetawala nchi hii toka 1961 Miaka 59 - Je mna jipya lipi na kuwaambia wanachi wawakubali?
 
Huu ushauri ni hatari kwa Chama Chetu cha Mapinduzi, kwa nini watu wanapenda CHADEMA ifanikiwe wakati hawatoi ushauri huu kwetu CCM ili tufanikiwe zaidi na zaidi?

Sioni sababu ya kutoa ushauri mwema kwa CHADEMA wakati huyu mtu angetuletea huu ushauri kwa CCM kuwa boresheni bei ya mazao, wafanyakazi wapandishwe mishahara, kuondoa Gaps baina ya Mtumishi wa Taasisi A na B wanaofanya Kazi zinazofanana na wenye elimu sawa;
Yesu aliwahi kusema kwamba sio vema Chakula cha Watoto kupewa Mbwa------hapa alikuwa anamjibu Mwanamke Mkananayo aliyetaka uponyaji wakati yeye sio Myahudi;

Kwa hiyo basi watu wengine wakiwepo akina Pascal Mayalla waache kukishauri CDM badala yake walete huo ushauri kwa Chama Cha Mapinduzi ili kiweze kufanya bora zaidi kwa ajili ya wananchi wetu wote wakiwepo CDMACTCUFUDPNCCR
 
Hizi ni hoja za kuhalarisha kuiondoa CHADEMA kushika dola au kuiondowa kuwa chama kikuu cha upinzani au hata KUKIFUTA kabisa.Lakini ukweli utabaki pale pale.CCM ya sasa hasa awamu hii,haiwezi kushindana na CHADEMA katika uchaguzi ulio HURU NA WA HAKI.HAIWEZI.Kwa bahati mbaya sana dhamira ya kuifuta CHADEMA imekuwa ya wazi na kubwa mno, kwa hiyo mshangao wa kushindwa kwa CDM awamu hii ni mdogo sana ukilinganisha na mshangao utakaokuwepo kuiona CDM ikifanya vizuri katika uchaguzi
huu kwa mazingira ya siasa za awamu hii.
Ukosefu wa tume huru NI dosari kubwa kwa taifa. Lakini kwanini nihangaike kushauri kitu kigumu kufanyiwa Kazi na sio kitu Muhimu kwa upinzani kufanya kuelekea uchaguzi usio huru. Upinzani unaitaji watu kuliko tume. Watu wote wakiwaelewa hakuna tume au police watakaoweza kuwazuia. Wajenge hoja za kutatua kero ata poliice na mahakama Wanatakiwa upande wao.
 
Back
Top Bottom