John Mnyika ashindwa kushiriki kazi za Kamati

Umesahau kuwa alienda kushiriki Mkutano Kule Mwanza wakati tayari baba yame ameshafariki. Tena kuna uzi ulianzishwa humu wa kumsifu kwa ujasiri wake huo
Duh, sio kwamba alishiriki Ktk upigaji wa Kura Za MEYA?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kuna wakati iliwahi kuripotiwa kuwa hali ya Mbunge wa Jimbo la Kibamba John Mnyika si nzuri. Kwamba, mwanasiasa huyo ambaye alijizolea umaarufu kutokana na uwezo wa kujenga hoja, hali yake ni tete. Ilielezwa kuwa Mnyika ana matatizo ambayo kimsingi ni vigumu kuyaelezea hasa kwa vile amekuwa akipoteza kumbukumbu mara kwa mara na wakati mwingine inakuwa ni vigumu kumwelewa nini anasema. Kwa ujumla ilielezwa kuwa Mnyika kachanganyikiwa. Baada ya taarifa hiyo, CHADEMA walikanusha ingawa baadaye ilikuja kuthibiti kuwa Mnyika ni mgonjwa.

Taarifa mpya juu ya mwanasiasa huyo ni kwamba hali yake imezidi kudorora kwa siku za karibuni na watu walio karibu naye wanasema kuwa kachanganyikiwa. Ingawa haijaelezwa chanzo halisi cha kuchanganyikiwa huko, baadhi ya walio karibu naye wanaona kuwa hali hiyo imejitokeza mara baada ya mchakato wa kumpata mrithi wa Dr Slaa kukamilika kule Mwanza. Kwamba baada ya mkutano wa Mwanza, hali ya John Mnyika imezidi kudororora kiasi cha kushindwa kushiriki vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge. Inadaiwa kuwa huenda hali hiyo imejitokeza tena kutokana na kukosa nafasi ya Katibu Mkuu ambayo alikuwa na matumaini makubwa kuwa ataichukua.

Wadau, ingawa jambo la afya ni la mtu ni binafsi, ila kwa vile Mnyika ni Mbunge na ana wafuasi wengi, ni vema chama chake kikaeleza kwa undani nini kinamsumbua mwanasiasa huyo machachari. Ninaamini kuwa ikiwa CHADEMA watabainisha nini Mnyika kinamsumbua, wapo wadau wengi watakaojitokeza kutaka kumsaidia na atarejea kwenye hali yake ya kawaida. Kuendelea kuficha ficha na kumficha kwa baba yake mdogo hakika haisaidii.

Kwanza umempa pole kwa kijana mwenzetu kufiwa na babaye au upo kinafiki tuu.
 
Mkuu anaondoa hoja iliyopo mahakamani usisumbuke
Kweli kabisa mkuu maana naona leo anajitahidi kukwepesha ukweli na kutuletea post za kutaka kutuondosha kwenye habari moto moto,HABARI YA MUJINIIIII
 
Ndio ujue haya NI mabadiliko yakweli aliyo yasema Rais Magu kipindi cha kampeni
Sio yale ya kuzungusha mikono ya Wanywa Viroba
Bado babako naye wakati wowote anaburuzwa kwa pilato hivyo jiandae kwenda kumtolea dhamana
 
nilipokua naambiwa kuna wanaume wambea nilikua siamini ila sasa nimeanza kuamini maana mwanaume kama wewe unaleta unafiki na umbea humu, ebu kwanza umesikia kama umoja wa ulaya wajitoa ufadhili kwa taifa lako?
Mkuu hiyo habari ni mwiba mkali na mchungu kwa wana wa lumumba
 
Back
Top Bottom