Golden einstern
Member
- Feb 15, 2017
- 33
- 18
Sawasawa
Wanasiasa wanaotoka sehemu zenye migodi wanaelewa jitihada za rais.
Yaani wewe kijana kila kinachofanywa na mtu wa Chadema kwako ni kizuri tu, akili huifungui kabisa.. Ndio maana ata ukakuta mwizi anaiba uruhusiwi kumpiga mpeleke katika vyombo vya sheria.. Kwa akili yako huo ni mtego, kama ni mtego kategwa yeye bahaluli HecheBonge la mtego!!
HAHAHAHAHAHHA...Wapinzani safi sana..Kazi yao ni kuchochea moto tu..chocheaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaawakati mwingine hawa jamaa akili zao ni za hovyo kweli
kabisa heche ameona suluhu kuu ni kuvamia mgodi?
hapo ndipo harakati zao zote zinapooneka si kitu
UPUUZI HUU
Wewe ndo umenena ukweli kabisa, Hecche yuko very smart na hili ni bonge la mtego kwa serikali. Wamekuwa wakitumia jeshi la polisi kuwalinda ACACIA ajabu leo ni kampuni feki, tumeonewa sana wana Tarime kwenye huo mgodi, miaka ya 80 hadi 90 mwanzoni maisha yalikuwa mazuri kwa wana Nyamongo, Nyamwaga, Itiryo na vijiji vyote vya jirani na Tarime nzima sasa ni kilio na kumwaga damu. Kama kweli ni feki watoe askari wa serikali tuingie mzigoni maisha yawe kama zamani. HahahahaaBonge la mtego!!
Lakini ku-vandalise shamba la Mbowe serikali haikuhitaji kulishughulikia kistaarabu!!Asije akaharibu,serikali inalishughulikia swala hili.
Shamba lililo kwenye chanzo cha maji?yeye kama kiongozi alitakiwa awe mfano awe mstari wa mbele kulinda mazingira ina maana angeshinda uchaguzi akawa waziri mkuu,si misitu yetu angeigeuza mkaa.Lakini ku-vandalise shamba la Mbowe serikali haikuhitaji kulishughulikia kistaarabu!!
Wewe ndio sio muelewa, bro jpm wametudanganya watanzania kusema ACACIA ni kampuni feki. Sasa kama ACACIA ni kampuni feki mbona inaendelea kuchimba madini?, na kwa nn aseme atakaa meza moja na kampuni ambayo haipo/haijasajiriwa Tanzania????,,,wake up bro..wakati mwingine hawa jamaa akili zao ni za hovyo kweli
kabisa heche ameona suluhu kuu ni kuvamia mgodi?
hapo ndipo harakati zao zote zinapooneka si kitu
UPUUZI HUU