Heshima kwenu wakuu,
Mbunge wa Tarime John Heche(CHADEMA) amewaagiza Wananchi wa Tarime wajiandae akitoka bungeni ataenda Tarime kuwaongoza wavamie Mgodi wa Accacia ulioko Tarime.
Anasema Kwamba "Accacia ni Kampuni feki, ni kampuni hewa ambayo haipo na ipo Tarime na inawaharibia wananchi wa Tarime. Kuanzia leo, nawaambia wananchi wa Tarime wajiandae tuingie mle mgodini tuchukue kila kilicho chetu. Na mimi hili nalisema humu Bungeni na ntalifanyia kazi Mimi Sidanganyi. Sababu Wananchi wa Tarime wameumizwa, na kampuni ile rais amesema ni feki, na hakuna fomula ya kukamata mwizi".
Mlisema wenyewe na bunge limesema, Fomula ya kukamata mwizi ni kupambana naye. Sisi hatutaruhusu madini yatoke pale, ndege ikitua tunapiga mawe na hilo linaendelea ninaorganisation pale. Magari yao tutayakamata, Kwanza tunawadai fidia nyingi kweli kweli pale Tarime. Tunataka hayo mambo yafanyike sasa hivi.Tunazuia Mchanga huku dhahabu inaondoka, hii si sawa. Watu wengine tuna machungu na tuna maaumivu na hili. Kama mkinikamata Watanzania watajua hamko tayari kupambana Vita hii. Nataka nani atanizuia kukamata mwizi. Nataka tuone kama Polisi watanikataza kukamata Magari ya Mwizi
Huu ni uchochezi sijui atayaongelea nje ya Bunge ili adakwe?Mbunge wa Tarime John Heche amesema kwa kuwa imethibitika kampuni ya Acacia ni kampuni feki anawahimiza wananchi wa Tarime wajiandae kuingia mgodini kuchukua kila kitu hadi magari kwa kuwa hakuna forula ya kukamata mwizi Tarime
Amesema wananchi wa Tarime wameumizwa sana ikiwa ni pamoja na kutolipwa fidia na kuna ripoti ya waziri inasema wananchi takribani 64 wameuawa ili kuwalinda hao wezi wa Acacia
Mbunge wa Tarime John Heche amesema kwa kuwa imethibitika kampuni ya Acacia ni kampuni feki anawahimiza wananchi wa Tarime wajiandae kuingia mgodini kuchukua kila kitu hadi magari kwa kuwa hakuna forula ya kukamata mwizi Tarime
Amesema wananchi wa Tarime wameumizwa sana ikiwa ni pamoja na kutolipwa fidia na kuna ripoti ya waziri inasema wananchi takribani 64 wameuawa ili kuwalinda hao wezi wa Acacia
Mihemko kwenye ubora wake.
Yaani huyu ni wa ajabu hata aliyekabidhiwa hiyo ripot hakutoa hayo maamuzi.
Jamani busara itumike kwani sisi wenyewe ndio tuliojiibia
Dawa ya mwizi ni nini?wakati mwingine hawa jamaa akili zao ni za hovyo kweli
kabisa heche ameona suluhu kuu ni kuvamia mgodi?
hapo ndipo harakati zao zote zinapooneka si kitu
UPUUZI HUU
Lusinde alisema hakuna busara kwenye kumkamata mwiziMihemko kwenye ubora wake.
Yaani huyu ni wa ajabu hata aliyekabidhiwa hiyo ripot hakutoa hayo maamuzi.
Jamani busara itumike kwani sisi wenyewe ndio tuliojiibia