Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,454
- 1,621
Sema maskini Zelensky,katika Hali ya kawaida waukraine na warussia ni ndugu,tatizo ni Zelensky na siasa zake za kuwa puppet wa nchi za magharibi,na kiutaka kujiunga na NATO,vifo vingi vya wananchi wa Ukraine amesavabisha yeye,Trump analijua hilo ndo maana ameamua kumfungia madirisha.Masikini Ukraine...