Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,325
- 69,818
John Bolton mshauri wa masuala ya usalama na ulinzi wa marais wengi wa Marekani na mtu mwenye misimamo mikali ya kivita amelaani vikali Trump kuisalimisha Ukraine kwa Russia kabla hata mazungumzo ya amani hayajaanza.
Bolton anasema Putin ameshapata kila kitu kwa Trump na kwamba terms za amani za Trump kumaliza vita ni kama ziliandaliwa Kremlin kisha Trump akapewa azisome tu.
Bolton anasema Kremlin sasa hivi wanafanya sherehe huku wakinywa vodka moja kwa moja kutoka kwenye chupa(bila glass) huku wakichekelea.
Masikini Ukraine.