JKT zaidi ya 300 waandamana sababu ya ajira

january makamba:,kuna ulemavu wa fikra, ambao mtu hawezi kujiongeza mpaka support kutoka nje! hii inaonyesha mafunzo ya jkt hayana msàada kwa kuondoa tatizo la ajira!
 
Ukosefu wa ajira ni bomu linaloelekea kulipuka wakati wowote. Serikali isipochukua hatua nchi itaangamia hii. Bado kuna wengine wako makambini mwaka wa tatu huu wanasubiri ajira.
 
Mkuu hicho kichwa cha habari wengine nusura turudi kambini toka maeneo ya starehe tukifikiri kuna uasi. Manake mwanajeshi haruhusiwi kuandamana, akiandamana ni uasi na uasi hukumu yake ipo wazi.

tuwe tunaangalia vichwa vya habari tusije kuleta sintofahamu

Kimbunga kama wewe kweli ni mwanajeshi soma sharia vizuri bila kufeli, sababu wengine mnafeli kuanzia lecture mpaka kazini. Mwanajeshi yoyote chini ya Lt Col. anaweza kuandamana kudai haki sababu hayupo ndani ya kundi la watunga sera ambao ni Lt. Col. na kuendelea, yaani vyeo vya rais. Kumbuka Misri wakati wa kumuondoa Mubarak wote hao waliandamana. Kok up.
 
Mkuu nisaidie kifungu cha sheria/sharia ili nikitumie kuandamana. Kwa hiyo kuna commissioned officers wanaweza kuungana na NCOs wakaandamana kudai haki?
 
Kimbunga kama wewe kweli ni mwanajeshi soma sharia vizuri bila kufeli, sababu wengine mnafeli kuanzia lecture mpaka kazini. Mwanajeshi yoyote chini ya Lt Col. anaweza kuandamana kudai haki sababu hayupo ndani ya kundi la watunga sera ambao ni Lt. Col. na kuendelea, yaani vyeo vya rais. Kumbuka Misri wakati wa kumuondoa Mubarak wote hao waliandamana. Kok up.
Aisee mie hapo ni ngumbaru mkuu, hivi tofauti ya mahakama ya kijeshi na ya kiraia ni nini? Na hicho kifungu cha sheria unachokisema kiko upande gani? Practically naona kama mwanajeshi hawezi kuandamana. Ila hao JKT ni sawa maana si wanajeshi na labda kosa la serikali ni kutoweka wazi malengo ya JKT, kwasasa vijana wengi wanaenda JKT wakiwa na matumaini ya kuajiriwa ktk vyombo vya dola.
 
Huko JKT wamekuwa wakifundishwa kazi za mikono, inakuwaje sasa wanashindwa kujua malengo ya JKT? Kwani ni nani aliwadanganya kuwa ukienda JKT sharti uajiriwe hata kama hauna sifa za kuajiriwa?

Acha uongo wewe mafunzo yapi ya kazi za mikono wanazopatiwa na kwa muda gani??? Kama sio kupiga kwata na kufundishwa ukakamavu.... Nani kakwambia kazi za mikono hufundishwa kwa muda huo halafu ukajiajili... Ok hiyo sio issue nimefundishwa useremala randa na patasi napata wapi???? Pango la mwenye nyumba je?? Mkuu hivi ni vitu vinavyowezekana kabisa na viko ndani ya uwezo wa watawala,,, serikali inaweza kabisa kuwafanya hawa vijana wakawa productive ukizingatia jeshi letu sio productive,, kwa nini usiajili vijana wengi jeshini na kuliseti jeshi liwe productive??? Hizi barabara na majengo kwanini visijengwe na jeshi??? Nenda kachunguze china hydro, china railway, na sinoma ni akina nani kutoka china... Tujenga hoja kupeleka taifa hili mbele....
dola sasa ni 1800tsh angalia bei za magari tz miezi miwili iliyopita na leo imefika wapi... Jeshi lifanye production, tuunganishe hata magari basi,,kwanini jeshi lisilime kilimo cha kisasa likatoa ajira kwa vijana hawa,,, kwa nini jeshi lisimiliki migodi hata ya makaa ya mawe na viwanda vya cement???
 
Suala la jeshi kushika uchumi ni la kikatiba na sheria kama halimo basi sahau itabakia hivyo madhumuni ya uwepo wake ni ulinzi,

Na bei ya magari imekuweje tena.
Acha uongo wewe mafunzo yapi ya kazi za mikono wanazopatiwa na kwa muda gani??? Kama sio kupiga kwata na kufundishwa ukakamavu.... Nani kakwambia kazi za mikono hufundishwa kwa muda huo halafu ukajiajili... Ok hiyo sio issue nimefundishwa useremala randa na patasi napata wapi???? Pango la mwenye nyumba je?? Mkuu hivi ni vitu vinavyowezekana kabisa na viko ndani ya uwezo wa watawala,,, serikali inaweza kabisa kuwafanya hawa vijana wakawa productive ukizingatia jeshi letu sio productive,, kwa nini usiajili vijana wengi jeshini na kuliseti jeshi liwe productive??? Hizi barabara na majengo kwanini visijengwe na jeshi??? Nenda kachunguze china hydro, china railway, na sinoma ni akina nani kutoka china... Tujenga hoja kupeleka taifa hili mbele....
dola sasa ni 1800tsh angalia bei za magari tz miezi miwili iliyopita na leo imefika wapi... Jeshi lifanye production, tuunganishe hata magari basi,,kwanini jeshi lisilime kilimo cha kisasa likatoa ajira kwa vijana hawa,,, kwa nini jeshi lisimiliki migodi hata ya makaa ya mawe na viwanda vya cement???
 
Kimbunga kama wewe kweli ni mwanajeshi soma sharia vizuri bila kufeli, sababu wengine mnafeli kuanzia lecture mpaka kazini. Mwanajeshi yoyote chini ya Lt Col. anaweza kuandamana kudai haki sababu hayupo ndani ya kundi la watunga sera ambao ni Lt. Col. na kuendelea, yaani vyeo vya rais. Kumbuka Misri wakati wa kumuondoa Mubarak wote hao waliandamana. Kok up.
Wewe cock up hujapata hicho kifungu cha sheria ili kesho niwachukue mameja, makeptain, maluteni, maluteni usu na NCOs wote tukaandamane kwa kutumia hicho kifungu chako?
sijui tutkuwa na magwanda na vitendea kazi vyetu ama la! Na wewe utakuwepo unashuhudia hayo maandamano!
Kwamba wanajeshi wanaruhusiwa kuandamana! Soma sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini inayoruhusu maandamano uone jinsi ambavyo Jeshi, Polisi, JKT na Magereza walivyoondolewa kutumia sheria hiyo ili kuepuka kuruhusu maandamano.
 
Ni udhaifu wamafunzo tunyopata coz, tunafundishwa with no judgement. Narudia kuwa meja mpk cruter wanaweza kuandamana ili kushinikiza vingozi wao waweze kuitimua serikali ya kiraia. Tatizo may be short course direct from school
 
Alafu tofautisha ajira na kuandikishwa. Jeshini umeandikishwa tu, wenzio uraiani ndo wameajiriwa. Pension zao zinaeleweka.
 
Ni udhaifu wamafunzo tunyopata coz, tunafundishwa with no judgement. Narudia kuwa meja mpk cruter wanaweza kuandamana ili kushinikiza vingozi wao waweze kuitimua serikali ya kiraia. Tatizo may be short course direct from school
Acha hizo, lete kifungu kesho nikitumie. Kwani meja hawezi kumuondoa kiongozi wa kiraia hadi amshinikize Lt. Col, Col., Brig. gen., Maj. Gen., Lt. Gen., ama Gen. Kuwaondoa viongozi wa kiraia? Saj. Samwel Doe alimshinikiza nani au Capt. Sankara na Capt. Valentino Stresser waliwashinikiza akina Generals wapi?
 
Ni udhaifu wamafunzo tunyopata coz, tunafundishwa with no judgement. Narudia kuwa meja mpk cruter wanaweza kuandamana ili kushinikiza vingozi wao waweze kuitimua serikali ya kiraia. Tatizo may be short course direct from school

Hamna kitu kama hicho.
Wanaoiondoa serikali ya kiraia ni hawa makoplo na kuruta.
Meja na makanali wana shida gani na ssrikali wakati kila kitu wanapata freely.
Hiyo sheria unayosema sidhani kama ipo na kama ipo hai-apply
 
1:01 AM HABARI KITAIFA

VIJANA zaidi ya 300 waliopata mafunzo kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wameandamana kwenda Ikulu kumwona Rais Jakaya Kikwete ili asikilize kilio chao na kupinga upendeleo wa ajira ndani ya jeshi.

Maandamano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam jana kwa saa mbili asubuhi kwa vijana hao kujikusanya katika eneo la Jangwani huku wakiwa wameshika bendera nyekundu kupita barabara ya Morogoro, Umoja wa Mataifa hadi Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR).

Vijana hao baada ya kufikia katika eneo hilo walizuiwa na askari polisi waliokuwa wameweka ulinzi maalumu huku wakiwataka kueleza matatizo yao kwani si kila jambo linapaswa kufanywa maandamano, mengine yanaweza kuzungumzwa.

Mmoja wa vijana hao aliyejitambulisha kwa jina la Magesa Masatu, alisema lengo la maandamano hayo ni kupeleka kilio chao kwa Rais Kikwete baada ya kukosa ajira kwa muda mrefu ndani ya jeshi.

Alisema walifikia uamuzi huo baada ya kupeleka barua za maombi ya kazi Wizara ya Kazi na Ajira, Wizara ya Maliasili na Utalii na Wizara ya Ulinzi bila kupatiwa ufumbuzi wowote.

“Vijana wengi wamekuwa wakipelekwa JKT na kuahidiwa kupatiwa ajira, lakini toka mwaka 2000 hadi 2014 wameajiriwa vijana wachache na wengine tumekuwa tukiachwa. “Kama Serikali haina uwezo wa kuajiri vijana kwanini wanatupeleka JKT na kutupatia mafunzo ambayo wanajua kuwa baadaye tunaweza tukayatumia vibaya kutokana tatizo la ukosefu wa ajira?

“Wengi hatuna kazi tunaishia kuzurura mitaani bila kazi yoyote, kutokana na hali hii mafunzo tuliyopewa yanaweza yakasababisha vijana wengi kufanya mambo ambayo baadaye yataleta adhari kwa taifa,” alisema Masatu.

Kwa upande wake Fabian Mashauri alisema wasipopata majibu mazuri kutoka kwa Rais Kikwete wataendelea kupigania haki yao hadi pale itakapopatikana. Pia alisema Serikali isipoangalia suala hilo la vijana, watakuwa wanatengeneza makundi hatari ambayo yatakuja kuliathiri taifa.

MutalemwaBlog

Basi na sisi tuliomaliza vyuoni tuingie barabarani. Kwanza nafuu yao wamefundishwa ata stadi za maisha. sisi ni full #ungwine !

ebu waache habari hizo maramoja(as for my look)
 
Yaani ukapoteze muda wako kumwona jk dhaifu pole yao.wakajiunge na umma wa ukawa wadai haki zao kwanza za kimaamuzi ndio wapate la kusema
 
Back
Top Bottom