Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,306
Ilooooo limepigwa ban hilo
Ilooooo limepigwa ban hilo
Ilooooo limepigwa ban hilo
Ilooooo limepigwa ban hilo
Nauliza tu ,hivi kuna mtu anaweza kumuiga pozi Mr X akishastaafu na yeye?Watu wanazidi Kuvutiwa na Pozi la Rais Kikwete Msanii Ommy Dimpoz naye amemuiga mi naona na yeye kakosea Ukiangalia vidole vya Mkono wa kushoto aliuweka Karibu na Sikio amevikunjua Ommy dimpoz yeye amevikunja.
Miguu Nayo JK kaionesha yote Ommy dimpoz kafunika na Unjayo wake mguu wa Pili.
Haya yote ni Mahaba kwa Rais Kikwete. Watu wengi wanapiga Pozi hilo they can do Better.
View attachment 504436
Acha akili za kushikiwa wwWatu wanazidi Kuvutiwa na Pozi la Rais Kikwete Msanii Ommy Dimpoz naye amemuiga mi naona na yeye kakosea Ukiangalia vidole vya Mkono wa kushoto aliuweka Karibu na Sikio amevikunjua Ommy dimpoz yeye amevikunja.
Miguu Nayo JK kaionesha yote Ommy dimpoz kafunika na Unjayo wake mguu wa Pili.
Haya yote ni Mahaba kwa Rais Kikwete. Watu wengi wanapiga Pozi hilo they can do Better.
View attachment 504436