Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Mia miaTupo bize kushughulikia mambo ya ndani kwanza kukikaa sawa ndani ndio tunatoka nje sasa.

mganga hajigangi!wanawezaje kusuluhisha migogoro ya mbali wakshindwa ule wa zanzibar tu
havina ukubwa wowote ambao augustine atashindwa kuumudu...kama una mapenzi binafs na membe pole mkuuViatu vya Membe ni vikubwa
nyie wazee wa mazingaombwe mna mambo sana....Zanzibar hakuna mgogoro wowote, wananchi wamepiga kura halali na rais amechaguliwa kwa ushindi mnono na kiongozi wa upinzani alikua Dasalama kwenye hoteli yenye nyota tano akila bata...ngenge nini??
Wakati Rais mstaafu Jakaya Kikwete akiendelea kusafiri kwenda mataifa mbalimbali kwa shughuli za kikazi na kufikisha nchi 10 alizokwisha tembelea, Rais John Magufuli leo ametimiza siku ya 143 tangu aapishwe kuingia Ikulu bila kukwea ndege kwenda ughaibuni.
Hiyo inaweza kuwa rekodi ya aina yake kwa kuwa haijawahi kutokea tangu Uhuru kwa Rais mstaafu kusafiri safari nyingi za nje ya nchi kushinda Rais aliyeko madarakani.
Hadi sasa, Rais John Magufuli ametumia siku zote za kuwa kwake madarakani kusimamia kampeni yake ya kuongeza mapato ya serikali na kukomesha vitendo vya ufisadi kupitia kile anachokiita ‘kutumbua majipu’.
Mbali na mataifa mbalimbali aliyokwishatembelea, rekodi zinaonyesha kuwa Machi 21 mwaka huu, Kikwete alikwenda nchini Tunisia kwenye mkutano wa nane wa nchi majirani na Libya ambapo yeye ni mwakilishi maalum wa Afrika wa usuluhishi wa mgogoro wa taifa hilo.
Kabla ya kwenda Tunisia, Kikwete alikuwa katika mji wa Salalah nchini Oman alikoshiriki Mkutano wa Kamati ya Bunge la Kuandika Katiba ya Libya na alishindwa kuhudhuria kuapishwa kwa Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Shein kutokana na kuwa nje ya nchi.
Katika mkutano wake na viongozi wa Libya, Kikwete alisisitiza kuwa suluhisho la kudumu la mgogoro wa Libya liko mikononi mwa wananchi wa Libya wenyewe.Juzi Rais huyo mstaafu aliwasili Dubai akitokea Tunisia kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kwa shughuli hizo hizo za upatanishi wa mzozo wa kisiasa unaoendelea nchini Libya.
Uchunguzi wa Nipashe umebaini kuwa tayari JK ameshakwea ‘pipa’ na kufika nchi za Ethiopia, Uingereza, Visiwa vya Comoro, Afrika Kusini, Ujerumani, Marekani, Oman, Libya, Tunisia na UAE huku baadhi ya safari hizo zikitokana na mialiko maalum anayopata.
Wakati Kikwete akiendelea kusafiri kutokana na majukumu mbalimbali yanayomkabili akiwa Rais mstaafu, Rais Magufuli ameendeleza rekodi yake ya kutosafiri.
Chanzo: Gazeti la Nipashe
27 March. 2016
Wananchi watalalamika nini wakati hizo safari za rais mstaafu hazilipiwi na JMT..yy ni mjumbe wa amani wa AU kwahio safari zake na malupulupu yote ni AU ina take care...ngenge nini???Kama kweli Serikali ya JPM inaridhia Safari za Raisi mstaafu JK na kama kweli safari hizo ni kwa maslahi ya nchi yetu , basi kuna haja ya kujitokeza na kukemea tabia inayo endelea ya kumbeza/kubeza safari za JK. Serikali iliyopo ikikaa kimya basi wananchi wengi wataaminishwa mambo ambayo siyo na hivyo kumdhalalisha/ kuwadhalalisha wastaaafu wetu.
Rekebisha signature yako, nadhani hiyo Al hubshy ulikuwa unamaanisha Al ShababCCM inajua kuwatumia wazee wastaafu. Kikwete anafanya kazi kwa niaba ya Rais Magufuli
Mwacheni ale matunda ya wananchi waoga,Vasco da Gama katika ubora wake!
Usuluhishi kuhusu nini maana Rais alishapatikana!Tulitegemea usuluhishi huo uliotukuka aliokuwa nao angeanzia na ya Zenji
Wakati Rais mstaafu Jakaya Kikwete akiendelea kusafiri kwenda mataifa mbalimbali kwa shughuli za kikazi na kufikisha nchi 10 alizokwisha tembelea, Rais John Magufuli leo ametimiza siku ya 143 tangu aapishwe kuingia Ikulu bila kukwea ndege kwenda ughaibuni.
Hiyo inaweza kuwa rekodi ya aina yake kwa kuwa haijawahi kutokea tangu Uhuru kwa Rais mstaafu kusafiri safari nyingi za nje ya nchi kushinda Rais aliyeko madarakani.
Hadi sasa, Rais John Magufuli ametumia siku zote za kuwa kwake madarakani kusimamia kampeni yake ya kuongeza mapato ya serikali na kukomesha vitendo vya ufisadi kupitia kile anachokiita ‘kutumbua majipu’.
Mbali na mataifa mbalimbali aliyokwishatembelea, rekodi zinaonyesha kuwa Machi 21 mwaka huu, Kikwete alikwenda nchini Tunisia kwenye mkutano wa nane wa nchi majirani na Libya ambapo yeye ni mwakilishi maalum wa Afrika wa usuluhishi wa mgogoro wa taifa hilo.
Kabla ya kwenda Tunisia, Kikwete alikuwa katika mji wa Salalah nchini Oman alikoshiriki Mkutano wa Kamati ya Bunge la Kuandika Katiba ya Libya na alishindwa kuhudhuria kuapishwa kwa Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Shein kutokana na kuwa nje ya nchi.
Katika mkutano wake na viongozi wa Libya, Kikwete alisisitiza kuwa suluhisho la kudumu la mgogoro wa Libya liko mikononi mwa wananchi wa Libya wenyewe.Juzi Rais huyo mstaafu aliwasili Dubai akitokea Tunisia kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kwa shughuli hizo hizo za upatanishi wa mzozo wa kisiasa unaoendelea nchini Libya.
Uchunguzi wa Nipashe umebaini kuwa tayari JK ameshakwea ‘pipa’ na kufika nchi za Ethiopia, Uingereza, Visiwa vya Comoro, Afrika Kusini, Ujerumani, Marekani, Oman, Libya, Tunisia na UAE huku baadhi ya safari hizo zikitokana na mialiko maalum anayopata.
Wakati Kikwete akiendelea kusafiri kutokana na majukumu mbalimbali yanayomkabili akiwa Rais mstaafu, Rais Magufuli ameendeleza rekodi yake ya kutosafiri.
Chanzo: Gazeti la Nipashe
27 March. 2016
Ni maoni yako! Uko huru kuyatoa. Mimi nasubiri nione kazi yake.Unajua Wazungu wanaakili sana kunavyeo wanawapa waafrika kuwa potezea muda wakufanya yao sitaki kuamini kwamba Kikwete anaweza kutatua mgogoro wa Libya wakati wao ndio chanzo Libya itatulia Mpaka warudishe mzimu wa Gadaff