Elections 2010 JK atoa kauli kuhusu uchaguzi 2010

Do not automatically believe other people.We need to remember that advice is other people's opinions, offered because of what we did and didn't do, said or didn't say, and flavoured by their own agendas. They're not universal truths, and they're easy to challenge gently, for example, "So you didn't like my presentation, I'm sorry. So how exactly would you like me to do it next time, please?
 
Umeisha pewa right yakupiga kura mmeshindwa , demokrasia ni wengi wape na yeye ndio ameshinda kubalini tu mlikuwa hamna mgombea makini kwenye urais wakushindana na JK.

Kama kura alizopata JK zingekuwa ni za halali then ungeweza kusema uyasemayo. Sasa ushindi wa mezani ambao hata JK dhamiri yake inamsuta huwezi kujivunia hata kidogo. Na ujumbe umemfikia kuwa watanzania hawana imani naye tena. Nu muda wake sasa kuwashawishi Watanzania upya katika kipindi hiki cha miaka yake 5. Akiendeleza aliyoyafanya kwenye ungwe yake ya kwanza ndo mwisho wa CCM.
 
Wageni wa Nov bado saaana wanajifunza kuwa Thinkers, bado wanalopoka, bado wako 19 karne hawana jipyaa hapa tunapoteza muda wetu. Tuwapeni muda watajirekebisha.
 
Umeisha pewa right yakupiga kura mmeshindwa , demokrasia ni wengi wape na yeye ndio ameshinda kubalini tu mlikuwa hamna mgombea makini kwenye urais wakushindana na JK.


ungemalizia "wa kushindana na JK katika kuiba kura aka kuchakachua kura"
 
Back
Top Bottom