Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,391
- 10,883
Mtoeni kwanza mteule was JK ndo UDSM litanyooka. watoto wanafuata baba anafanya niniDada Zainab,hongera sana kwa uzalendo wako na mumeo na pole kwa usumbufu.
Kusema kweli ufisadi wa pale UDSM ni mkubwa kuliko tunavyofikiri,na si idara moja ya BICO tu,kila mahali pamejaaa ufisadi mpaka basi.
Kuna tenda ya kuendesha UDASA nilikuwa nafuatilia,niliyokutana nayo ni balaa.
Kama kutakuwa na tume huru ama chombo kinachotaka kujua matatizo ya pale UDSM,nipo tayari kushirikiana nacho/nao kwani mimi ni mdau mkubwa sana pale kwa miaka mingi tu.
Nadhani hawapo kibiashara wanafanya kwa diliHili si tukio la kwanza kusikia kuhusu hawa jamaa wa chuo. Kuna rafiki yangu alitaka atengenezewe mashine ya juice ya miwa walimsumbua kinoma ilifika karibu miezi mitatu. Ikabd mshkaji aende na polisi ndo wakaandikishiana baada ya siku 5 aje kuchukua mashine.
Ila kikweli pamoja na usumbufu jamaa wanaijua kazi yao. Mashine za ukweli
Naomba contact ndugu na mimi nina hyo shida. TDTC ndo nini?Mimi nilienda hapo hapo Udsm TDTC sikipita BICO nilipata mashine siku hiyo hiyo bila usumbufu ila mara nyingi hutoa wk moja
Sema wazee wengine pale ni njaaa watumbuliwe tu
TDTC ni Technology Development and Transfer Centre mkuu iko pale Udsm CoET jengo la utawala.....ngoja nizisake ntakucheckNaomba contact ndugu na mimi nina hyo shida. TDTC ndo nini?
Sisemi kuwa lililosemwa ni uongo, ila jaribu kutumia akili yako hapo kidogo. Kama kuna sehemu uliwahi nunua degree usifananishe na sehemu ambayo hata mguu hujawahi tia. Think outside the box, sio kila kitu ni siasa.Kila kitu ni dili hapa Tanzania. Hata degree unaweza kuipata kwa dili pale Mlimani. Awamu ya nne imeharbu hii nchi xana.
Ina maelezo mengi nimeshindws kumalizia.naomba ambaye anaweza kunieleza kifupi tu
Ww uliinunua shilingi ngapi?Kila kitu ni dili hapa Tanzania. Hata degree unaweza kuipata kwa dili pale Mlimani. Awamu ya nne imeharbu hii nchi xana.
Mkuu unazungumzia pas degree ya mzee au?Kila kitu ni dili hapa Tanzania. Hata degree unaweza kuipata kwa dili pale Mlimani. Awamu ya nne imeharbu hii nchi xana.
Inasikitisha sana.,huu ni uhuni mtupu...sidhani kama Prof.Mkandala
atakuwa anayajua haya..
BeautyfulDada pole sana! Ila iko hivi the beautiful one are not yet born..! Magufuri na ssm wote ni kijani tu kelele za majipu sijui vidonda upele ni sababu anataka mhula mwingine 2020.
Kama mumeo alijua ofisi in BICO iweje akutane na MTU kupanga dili mitaani? Sikh nyingine nenda ofisini sio mitaani hapo kisheria Wadelanga hana kosa ana haki kufanya shughuli zake za mitaani saa baada ya kazi Dada acha kukidhalilisha chuo UDSM[/QUOTE
Mtaani invoice za chuo? Kodi je?
Kama mumeo alijua ofisi in BICO iweje akutane na MTU kupanga dili mitaani? Sikh nyingine nenda ofisini sio mitaani hapo kisheria Wadelanga hana kosa ana haki kufanya shughuli zake za mitaani saa baada ya kazi Dada acha kukidhalilisha chuo UDSM