Jipu la utapeli Chuo Kikuu Dar (UDSM)

Dada Zainab,hongera sana kwa uzalendo wako na mumeo na pole kwa usumbufu.
Kusema kweli ufisadi wa pale UDSM ni mkubwa kuliko tunavyofikiri,na si idara moja ya BICO tu,kila mahali pamejaaa ufisadi mpaka basi.
Kuna tenda ya kuendesha UDASA nilikuwa nafuatilia,niliyokutana nayo ni balaa.
Kama kutakuwa na tume huru ama chombo kinachotaka kujua matatizo ya pale UDSM,nipo tayari kushirikiana nacho/nao kwani mimi ni mdau mkubwa sana pale kwa miaka mingi tu.
Mtoeni kwanza mteule was JK ndo UDSM litanyooka. watoto wanafuata baba anafanya nini
 
Kama mumeo alijua ofisi in BICO iweje akutane na MTU kupanga dili mitaani? Sikh nyingine nenda ofisini sio mitaani hapo kisheria Wadelanga hana kosa ana haki kufanya shughuli zake za mitaani saa baada ya kazi Dada acha kukidhalilisha chuo UDSM
 
Hili si tukio la kwanza kusikia kuhusu hawa jamaa wa chuo. Kuna rafiki yangu alitaka atengenezewe mashine ya juice ya miwa walimsumbua kinoma ilifika karibu miezi mitatu. Ikabd mshkaji aende na polisi ndo wakaandikishiana baada ya siku 5 aje kuchukua mashine.
Ila kikweli pamoja na usumbufu jamaa wanaijua kazi yao. Mashine za ukweli
Nadhani hawapo kibiashara wanafanya kwa dili
 
Mimi nilienda hapo hapo Udsm TDTC sikipita BICO nilipata mashine siku hiyo hiyo bila usumbufu ila mara nyingi hutoa wk moja

Sema wazee wengine pale ni njaaa watumbuliwe tu
 
Mimi nilienda hapo hapo Udsm TDTC sikipita BICO nilipata mashine siku hiyo hiyo bila usumbufu ila mara nyingi hutoa wk moja

Sema wazee wengine pale ni njaaa watumbuliwe tu
Naomba contact ndugu na mimi nina hyo shida. TDTC ndo nini?
 
Naomba contact ndugu na mimi nina hyo shida. TDTC ndo nini?
TDTC ni Technology Development and Transfer Centre mkuu iko pale Udsm CoET jengo la utawala.....ngoja nizisake ntakucheck
 
Kila kitu ni dili hapa Tanzania. Hata degree unaweza kuipata kwa dili pale Mlimani. Awamu ya nne imeharbu hii nchi xana.
Sisemi kuwa lililosemwa ni uongo, ila jaribu kutumia akili yako hapo kidogo. Kama kuna sehemu uliwahi nunua degree usifananishe na sehemu ambayo hata mguu hujawahi tia. Think outside the box, sio kila kitu ni siasa.
 
Inasikitisha sana.,huu ni uhuni mtupu...sidhani kama Prof.Mkandala
atakuwa anayajua haya..

Huyo profesa mwenyewe ni jipu atakosaje kujua hujuma hizo; mwenyewe ndio kinara wa kufuja matumizi ya mali za chuo, anapokwenda kwao Bukoba huwa anatanguliza gari ya chuo landcruiserV8 ikamgoje airport wakati eye anapanda ndege kwenda huko!! Haya ni matumizi malaya ya madaraka.
 
Natamani nisimulie changu cha UDSM. Jamaa wameoza wale hasa utawala. Usitamani uwe na ishu ya kiofisi pale mlimani, utajuta.
 
H
Kama mumeo alijua ofisi in BICO iweje akutane na MTU kupanga dili mitaani? Sikh nyingine nenda ofisini sio mitaani hapo kisheria Wadelanga hana kosa ana haki kufanya shughuli zake za mitaani saa baada ya kazi Dada acha kukidhalilisha chuo UDSM[/QUOTE
Mtaani invoice za chuo? Kodi je?
 
ndio maana tunaagiza china..

nilishaenda coet kutengeneza mashine ya screen printing.. haya mapokez tu customer service zero..

mashine ya m5 mtu anachukulia poa tu wakati hela umeisotea kuipsts ili ujikwamue...

kuna mtu akanishauri ni bora niagize tu kuepuka stress za mafundi wa kibongo..

nashukuru Mungu mashine nzuri na ya kisasa ilifika salama from japan. kwa specs za ukweli
 
Kama mumeo alijua ofisi in BICO iweje akutane na MTU kupanga dili mitaani? Sikh nyingine nenda ofisini sio mitaani hapo kisheria Wadelanga hana kosa ana haki kufanya shughuli zake za mitaani saa baada ya kazi Dada acha kukidhalilisha chuo UDSM

Ninakuomba soma tena uelewe kisa kilichomkutanisha mume wangu na huyo ndugu Wadelanga hapo Sinza, nimeelezea ilivyokuwa.
 
Back
Top Bottom