nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,677
- Thread starter
- #21
sehemu nyingine vinapatikana Posta mpya, mbele ya duka la HD PAHARAMCY
Nipo mkoani, nikija Dsm tutawasiliana mkuu. Thanks mkuu tafuta na vya Msiba.
Hakikisheni hamkosei kosei. Hata Kama hujanitaja hapo
hadhina yangu kutoka kwa gwiji Ben R. Mtobwa. nameless girl hapo namiss kitabu gani?
Niko shinyanga, nipe maelekezo jinsi ya kukipata.
Vinapatikana?mtambo wa mauti hakuna
lazima ufe joram hakuna
malaika wa shetani hakuna
nyuma ya mapazia hakuna
zawadi ya ushindi hakuna
kiguu na njia hakuna
Vinapatikana?
Dom hapa hamna wakala
naweza kukutumia kwa basi ama sanduku la posta.
naweza kukutumia kwa basi ama sanduku la posta.
sema mkuu unataka kitabu gani uagiziwe kwenye basi??