Jipatie vitabu vya joram kiango vya mwandishi ben . Mtobwa

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,675
Wazima wote humu?
Karibuni mjipatie vitabu vya joram kiango vilivyoandikwa na marehemu ben r. Mtobwa. Mpaka sasa aina nne ya vitabu vya joram kiango vinapatikana kati ya kumi na moja. Vitabu vinavyopatikana mpaka sasa ni roho ya paka, najisikia kuua tena, mikataba ya kishetani na mikononi mwa nunda. Vitabu tunavotegemea kutoa kabla ya mwaka kesho ni mtambo wa mauti na tutarudi na roho zetu? Vitabu vyote hivi vinapatikana kwa bei ya shilingi elfu 10,000 maeneo ya kariakoo mtaa wa congo na ubungo kituo cha stendi ya mkoa.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0712504985 au 0719851055 au 0763044459
Yo Yo, Mama, Mpita Njia, Mzee Mwanakijiji, DDT, Shadow, Philemon Mikael Tonga, @Ngwanza Madaso, @ yassin, single Sajenti,Kibunango, @RR, Morani75, Semjato, Kuntakinte, Kevo, KESHaija, streetwiser, Mbalamwezi, Baba Enock, Nemesis, Katavi, Kapo Jr, Amorbwoy, sonny-benson, nyakubonga, JEKI, hawahamisi, lutayenga, Bigjahman, Ntigy, NGANU, charliehustler, guasa,kigongoi, ntamaholo, kudi kudi, ulimbaga, plo lumumba jr, ADK, Zeddicus, kiraia, Sam 2, playboy, Mussolin 5, rosob, laki si pesa,lutayega, idawa, MAPIKIPIKI, Hikma, Last emperor, nemulo, MJUKUU WA KACHUNDU, conductor, wakusoma, Ibrah, Nomile,MankaM, Yoon Sung Lee, mussa, Mashala Jr, @Muella jr, Kijini, The secretary, david ngido, Simba Mkali, The Dude, The Genius,mpayukaji, Jumakidogo, X-PASTER, Al Zagawi, Njangula, sirghanam, mtemiwaWandamba, Udadisi, Gurudumu, Kasimba,Mwalimu, KULI, nyabhingi, mohamed Shossi Kyenju, Preta idawa, Mshuza2, MAFUNZO, The last don, nyabaheta, 50thebe,Elungata, Wimana, Kailanga, Chimunguru, Mogambi, michosho, Victoire, Endangered, Njangula, Bujibuji, NZURI PESA, Babu Kijana, pono, Mzawa Halisi, Hassan, Mugaga, ali, Job K, bullet, ngangarupalu, mpinga shetani, Kakalende, kinyoba, Raia Fulani,BONGE BONGE, @Pirincetx Morinyo, olele, Mama Yeyoo, Mgjd, bet lehem, Nebby, KUTATABHETAKULE, Mkosoaji Nebby, betlehem, olele, princetx, Raia Fulani, kinyoba, Ngagarupalu, Job K, Mugaga, Hassani, Mzawa Halisi, babukijana, Endangered, Victoire, Mogambi, michosho, Chimunguru, Kailanga, Wimana, Elungata, 50thebe, nyabaheta, The last don, MAFUNZO, Mshuza2, Kyenju, idawa na wengine wote karibuni
 

Attachments

  • najisikia.jpg
    najisikia.jpg
    8.6 KB · Views: 916
  • shetani.jpg
    shetani.jpg
    77.9 KB · Views: 695
  • roho.jpg
    roho.jpg
    8 KB · Views: 626
  • nunda.jpg
    nunda.jpg
    12.7 KB · Views: 612
  • Thanks
Reactions: RR
Nitaptia hapo ubungo aiseeee, umenikumbusha mbali sana hahahaha Joram Kiango; Je tutarudi na roho zetu?? Imenifanya kila siku niendelee kupenda Channel ya Viasat CRIME
 
Nitaptia hapo ubungo aiseeee, umenikumbusha mbali sana hahahaha Joram Kiango; Je tutarudi na roho zetu?? Imenifanya kila siku niendelee kupenda Channel ya Viasat CRIME

Tutarudi na roho zetu tutaitoa ndani ya mwezi huu. Kipo jikoni kwa sasa.
 
Roho ya paka nakitafuta sana, nitapita leo hapo Ubungo. Jana nimesoma tutarudi na rohi zetu full burudani. Ubarikiwe mkuu.
 
Ulishapata kitabu?

yap lakini nitahitaji vingine so ofisi zenu zi wapi? au kama mwaweza why msiviweke pale ofisini biafya kinondoni kwenye duka la KONA ya RIWAYA coz wengi sana wanavitafuta vitabu vya JORAM KIANGO na hakuna sehem maalum ya kuvipata mm nishazunguka sana Mara naambiwa tegeta mwisho Mara ubungo Mara posta sijui k/KOO yaani ni taabu tupu.


kingine mkuu Fanya utumie karatasi zile zingine za dona hizi nyeupe sana zinaumiza macho.

hivyo vingine nitavipateje??
na kuna group LA wasoma vitabu sio vibaya ukijoin kule ili iwe rahisi .
 
yap lakini nitahitaji vingine so ofisi zenu zi wapi? Au kama mwaweza why msiviweke pale ofisini biafya kinondoni kwenye duka la kona ya riwaya coz wengi sana wanavitafuta vitabu vya joram kiango na hakuna sehem maalum ya kuvipata mm nishazunguka sana mara naambiwa tegeta mwisho mara ubungo mara posta sijui k/koo yaani ni taabu tupu.


Kingine mkuu fanya utumie karatasi zile zingine za dona hizi nyeupe sana zinaumiza macho.

Hivyo vingine nitavipateje??
Na kuna group la wasoma vitabu sio vibaya ukijoin kule ili iwe rahisi .

kkoo na ubungo kuna wenye magazeti wanaviuza. Ofisi zetu zipo bunju kwa muda. Nitawezaje kujiunga na hilo group mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom