Jipatie ubuyu wa zanzibar kwa elfu 28 tu

Huu ndio mwonekano wake..
 
Attachments

  • IMG_20170508_080531.jpg
    IMG_20170508_080531.jpg
    203.2 KB · Views: 419
Kuna watu wameweka oda na ijumaa inshaallah wanapokea mizigo yao kama unataka kujumuishwa wasiliana nami mapema.
 
Menataka kuletewa ndoo ndogo nipo ubungo ntagaramia izo garama za bandari na nauli atakae leta mzigo ndo namlipa baada ya kuona mzigo kutuma tu ela no my sina uwaminifu (kumwamini mtu nisie mjua) kwa kiwango icho
 
Hakuna shida nitumie SMS/wasapp/call katika no 0713763595 ili nipate contact zako kesho natuma kwa meli ya usiku jumatatu tar 15/05,unapokea mzigo wako panapomajaliwa
 
Shaka ondoa kama utakuwa na wasi wasi kuna option zakwenda kuuchukua mzigo sehemu kisha kulipia lakini itabidi ulipie na gharama ya kutoka bandarini mpaka huko,tumefanya hivi ili kukurahisishia na kupunguza gharama kwako,niamini tufanye biashara kwa wepesi ndugu.
Mimi nataka Ndoo Ndogo lakini ningependa kwanza kuona sample ya huo ubuyu. Na ningependa kuulipia baada ya kuridhika na ubora wake. Tunafanyaje biashara hapo?
 
Yaani nitume pesa kabla ya kupatw mzigo? Huko kuaminiana kiasi hicko kumetoka wapi?
Mimi natamani nunua ila si kwa maelezo haya!
mtanzania mimi sijafikia huko, yaani kirahisi tu hivo kisa kuna namba za simu hapo nitume pesa, labda huo ubuyu ni jina la bidhaa nyingine tofauti kabisa na nisichokifikiria,
watanzania hatuko serious asee,
 
Fatilia Uzi vizuri

kama umefuatilia Uzi vizuri suluhisho LA wasi wasi wako limeshatolewa..na unaweza kujipatia mzigo kisha ukalipia.
 
Back
Top Bottom