Jionee Nyati mmoja awatandika Simba sita kwa mpigo

Nyati kitu kingine wale, wana ushirikiano wa hali ya juu sana! Tofauti na nyumbu wanaweza kumuona mwenzao anashambuliwa na Simba au Duma wanangalia tu bila ya kutoa msaada wowote au wanakimbia kabisa na kumwacha mwenzao matatani!!
Nyumbu. Wanyama wale. Dah!
 
nyati wana tabia ya kumteua mwenzao mmoja mbabe awalinde wenzie,simba nao ni wajanja wakimu-attack huwa wanamziba mdomo asipige kelele kuita wenzie kuja kutoa msaada,NATIGEO WILD wiki iliyopita walionesha kipindi cha nyati,nilichokipenda ni hapo kwa yule mbabe kuwalinda wenzie,tena anakaa mbali kule wanapotokea simba
 
Simba wanapoziba mdomo hawana maana ya kumnyima nafasi asipige kelele, la hasha. Yaaani hapo ni technique ya kumnyima pumzi, ili afe kwa kukosa hewa.
 
Kachunwa bila kisu
1459962112630.jpg
 
Simba wanapoziba mdomo hawana maana ya kumnyima nafasi asipige kelele, la hasha. Yaaani hapo ni technique ya kumnyima pumzi, ili afe kwa kukosa hewa.
ni ukweli mkuu kwa maelezo ya wasimuliaji wa kipindi,alafanikiwa kupiga kelele na kundi kubwa lilikuja kumuokoa
 
Nyati kitu kingine wale, wana ushirikiano wa hali ya juu sana! Tofauti na nyumbu wanaweza kumuona mwenzao anashambuliwa na Simba au Duma wanangalia tu bila ya kutoa msaada wowote au wanakimbia kabisa na kumwacha mwenzao matatani!!
mkuu mifano ya "nyumbu" imekujaje hapa!!!!
 
nyati wana tabia ya kumteua mwenzao mmoja mbabe awalinde wenzie,simba nao ni wajanja wakimu-attack huwa wanamziba mdomo asipige kelele kuita wenzie kuja kutoa msaada,NATIGEO WILD wiki iliyopita walionesha kipindi cha nyati,nilichokipenda ni hapo kwa yule mbabe kuwalinda wenzie,tena anakaa mbali kule wanapotokea simba
mkuu kumbe na wewe unafuatilia ile channel? tupo wachache sana
 
Back
Top Bottom