Jinsi ya kutoona threads na comments za mtu

Nashukuru sio mimi maana hadi leo nimeweza ku comment hapa, hujaniweka kwenye ignore list:D:D
 
Aseeh isijekua unaficha hisia zako kwake,..manake mkishapenda amtaki muonekane sijui ushamba,..!?
 
Nadhani atakuwa yeezus sijui. Silipendi lijibwa hili. Halina adabu wala heshima,kwao sijui hakuna wakubwa na mkubwa Ndio yeye.

Gusa ignore tu lin
 
Back
Top Bottom