sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,291
habari zenu wakuu...
tatizo langu mimi ni hilo hapo juu..dogo (ndo anaanza kutembea sasa) alikuwa anatabia ya kusimama kwenye tv na kuchezea button za tv sasa sijui kabonya wapi bana..amelock! hufanyi chochote si sauti si menu..zaidi ya on/off tu kila unachobonyeza inadisplay child lock... na hii tv remote yake ilishapoteaga kitaaambo tu!! ni HITACHI 21" sasa nauliza kama kuna namna yoyote ya kufanya kutoa hii kitu kama inawezekana bila kutumia remote kwa sasa wakati nawaza kutaftia remote ingine...