Jinsi ya kutoa "'CHILD LOCK"' kwenye screen ya TV..

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,291
habari zenu wakuu...
tatizo langu mimi ni hilo hapo juu..dogo (ndo anaanza kutembea sasa) alikuwa anatabia ya kusimama kwenye tv na kuchezea button za tv sasa sijui kabonya wapi bana..amelock! hufanyi chochote si sauti si menu..zaidi ya on/off tu kila unachobonyeza inadisplay child lock... na hii tv remote yake ilishapoteaga kitaaambo tu!! ni HITACHI 21" sasa nauliza kama kuna namna yoyote ya kufanya kutoa hii kitu kama inawezekana bila kutumia remote kwa sasa wakati nawaza kutaftia remote ingine...
 
ntaleta majibu soon nikijaribu maana hii simu kuna dogo nilimpa na yeye amesafiri kidogo anarudi in two days from today.. so atakapokuja will be the first thing to try (hopefully ntakuwa sijanunua remote maana kwa sasa imebidi niweke ka tv nlikoanznia maisha ya ubachelor sebulen..kadogooo..
 
una nokia symbian? Yenye infrared?

Nenda link hii download app yao then itafanya simu yako kua universal remote

Psiloc irRemote S60
mkuu nimejaribu hii kitu imenisaidia sana ..nimeweza kuwasha (maana ilikuwa inawaka ila haimalizii mpaka utumie remote) na kuzima na naweza kuchange baadhi ya vitu, kuselect channel no nk...tatizo tu ni kuwa siwezi kuongeza/kushusha sauti na zile button za kupandisha/kushusha kwenye menu hazifanyi kazi..so unakuta nimeselect menu na kwenda mpaka sehemu yenye child lock ila from there siwez kushusha wal kupandisha wala kuchange value yoyote za kwenye menu maana button za kufanya hayo ni kama zipo disabled hivi..ila mambo mengine yote inapiga mzigo kama kawaida..nimeangalia TV yangu ni HITACHI model c21 f880c...kama kuna msaada wowote wa ziada maana child lock bado ipo na sauti bado ipoo juuu mnoooo...
 
Ukishindwa peleka kwa fundi akubadilishie ic inayotunza kumbukumbu akiitoa hiyo iliyotunza kumbukumbu kuwa imelokiwa na kuweka ambayo iko free kitu ndo kimepona tayari.
 
Kaka, release yourself from all the trouble kama bado suluhisho la kudumu hujalipata, remote haizidi 15,000 naamini.
 
Ni kwamba tv inapokuwa Child lock hutaweza kutumia button zake kubadilisha mpaka utumie remote ingawaje wakati wa kuweka ON inakuwaga rahisi hata bila remote
 
mkuu nimejaribu hii kitu imenisaidia sana ..nimeweza kuwasha (maana ilikuwa inawaka ila haimalizii mpaka utumie remote) na kuzima na naweza kuchange baadhi ya vitu, kuselect channel no nk...tatizo tu ni kuwa siwezi kuongeza/kushusha sauti na zile button za kupandisha/kushusha kwenye menu hazifanyi kazi..so unakuta nimeselect menu na kwenda mpaka sehemu yenye child lock ila from there siwez kushusha wal kupandisha wala kuchange value yoyote za kwenye menu maana button za kufanya hayo ni kama zipo disabled hivi..ila mambo mengine yote inapiga mzigo kama kawaida..nimeangalia TV yangu ni HITACHI model c21 f880c...kama kuna msaada wowote wa ziada maana child lock bado ipo na sauti bado ipoo juuu mnoooo...

mkuu kwanza ulichagua remote sahihi? Kama ulichagua remote sahihi then volume up na down hazifany kazi means ni bug yao.

Anyway ipo database ya remote 10,000 tatizo ni mpaka uhack simu na kuzieka hizo data kwenye apps ni complicated kidogo kwa mtu ambae si mzoefu wa symbian.

Pia sababu hitachi nyingi zinaingiliana remote test remote nyengine za hitachi huwezi jua ipi itakubali
 
Back
Top Bottom