Jinsi ya kutengeneza viungo vya chai

kelcie

Member
May 10, 2013
58
21
Naomba mniambie vitu vya kuweka kwenye kutengeneza viungo vya chai please!unachanganya nini na nini?
 
Farkhina come here we nid ur help ulisema utatusfundisha kutengnza
 
Lemon grass ni yale majani membamba kwa kiswahili huitwa mchaichai. Kwa jina la kitaaluma zaidi huitwa citronella.
 
Mimi huwa nachanganya mchaichai, iliki, karafuu. Siku nyingine huwa natumia chai ya mdalasini
 
Iliki, mdalasini, pilipili manga, karafuu, tangawizi, mchaichai majani ya chai, hivyo ni viungo vya chai,
 
Karafuu, tangawizi, pilipili manga, hiliki, dalasini

Usije ukaweka binzari (joking)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…