Jinsi ya kupika pilau la samaki

Aaliyyah

JF-Expert Member
Mar 20, 2022
19,328
46,805
I hope mko poa
Wale wasiotumia nyama nyekundu na wapenz wa samaki pitien hapa
Sikunyingine tujifunze kupika pilau la samaki 😀😀

Mahitaji
Samaki
Mchele
Unga wa pilau/pilau masala
Binzari nyembamba
Giligilani ya majani
Mafuta ya kupikia
Vitunguu swaumu na vitunguu maji
Chumvi na viazi

Hatua ya kwanza
andaa viungo vyako ponda vitunguu swaumu,
OSHA mchele
Kata vitunguu maji na majani ya giligilani
Kaanga samaki kama ni wabichi hakikisha wanakauka vizuri au unaweza kuoka pia

Hatua ya pili
Bandika sufuria jikoni weka mafuta yakipata moto weka kitunguu maji kaanga Hadi kianze kuwa brown kisha weka kitunguu swaumu kaanga had nacho kibadilike weka majani ya giligilani kaanga pia weka unga wa pilau iriki na binzari nyembamba Kisha weka viazi
Hakikisha vitunguu haviungui

Hatua ya Tatu
Weka maji ya vuguvugu kwenye mchanganyiko wako Kisha acha yachemke(maji kadiria kadr mchele wako ulivo)
Weka chumvi acha yachemke
Yakichemka wekamchele funika acha uive

Hatua ya nne
Maji yakikauka kidogo utafunua utaweka samaki wako kwenye pilau lako Kisha utaweka hoho na karoti kama utapenda utafunika na kupunguza moto Ili uive

Hatua ya tano
Geuza pilau vizuri wakat wa kugeuza zingatia utaratibu Ili samaki wasivurugike funika Tena na acha chakula kiive Kwa moto mdogo
Baada ya dakika 10 au 15 chakula kitakuwa tayari Kwa kuliwa
NB mm nimetumia samaki wale vibua wagumu (wengine huitaje sijui kwakweli)wew unaweza tumia samaki yoyote utaependa ila itapendeza akiwa wa vipande wasiwe wadogo wadogo sana
IMG_20240920_175313~2.jpg
IMG_20240920_181026.jpg
IMG_20240920_191130.jpg
 
I hope mko poa
Wale wasiotumia nyama nyekundu na wapenz wa samaki pitien hapa
Sikunyingine tujifunze kupika pilau la samaki 😀😀

Mahitaji
Samaki
Mchele
Unga wa pilau/pilau masala
Binzari nyembamba
Giligilani ya majani
Mafuta ya kupikia
Vitunguu swaumu na vitunguu maji
Chumvi na viazi

Hatua ya kwanza
andaa viungo vyako ponda vitunguu swaumu,
OSHA mchele
Kata vitunguu maji na majani ya giligilani
Kaanga samaki kama ni wabichi hakikisha wanakauka vizuri au unaweza kuoka pia

Hatua ya pili
Bandika sufuria jikoni weka mafuta yakipata moto weka kitunguu maji kaanga Hadi kianze kuwa brown kisha weka kitunguu swaumu kaanga had nacho kibadilike weka majani ya giligilani kaanga pia weka unga wa pilau iriki na binzari nyembamba Kisha weka viazi
Hakikisha vitunguu haviungui

Hatua ya Tatu
Weka maji ya vuguvugu kwenye mchanganyiko wako Kisha acha yachemke(maji kadiria kadr mchele wako ulivo)
Weka chumvi acha yachemke
Yakichemka wekamchele funika acha uive

Hatua ya nne
Maji yakikauka kidogo utafunua utaweka samaki wako kwenye pilau lako Kisha utaweka hoho na karoti kama utapenda utafunika na kupunguza moto Ili uive

Hatua ya tano
Geuza pilau vizuri wakat wa kugeuza zingatia utaratibu Ili samaki wasivurugike funika Tena na acha chakula kiive Kwa moto mdogo
Baada ya dakika 10 au 15 chakula kitakuwa tayari Kwa kuliwa
NB mm nimetumia samaki wake vibua wagumu (wengine huitaje sijui kwakweli)wew unaweza tumia samaki yoyote utaependa ila itapendeza akiwa wa vipande wasiwe wadogo wadogo sana View attachment 3101429View attachment 3101430View attachment 3101431
Aaliyyah ule mpango wa kufungua goli la msosi upo pale pale ? 😂😂😂
 
Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom