Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,328
- 46,805
Mkopoa!
Mahitaji mayai,karoti,hoho,chumvi,kitunguu maji, mkate Na mafuta ya kupikia (mimi nimetumia hoho na kitunguu kidogo sana)viungo inategemea na mapenz Yako
Jinsi ya kupika
vunja mayai Yako katika bakuli weka viungo kias utachopenda pia kulingana na mayai Yako Changanya mayai na viungo vichanganyike vizuri
Chukua mkate toa nyama ya kati ukate vizuri pembe nne
Jinsi ya kupika
Bandika pan jikoni weka mafuta kidogo weka kipande Cha pembeni Cha mkate
Weka mayai katikati ya mkate acha kidogo
Kisha geuza ukigeuza usiache sana ikauka sana geuza Tena weka kipande Cha kati Cha mkate ambcho ulitoa awali kirudishe kilipokuwa
Kisha geuza Tena pika Hadi uone mayai na mkate wako umekauka vizuri
Unaweza kunywa na chai au maziwa