Shining Light
JF-Expert Member
- Jan 8, 2024
- 406
- 525
Mahitaji
Maelezo
- Mayai 2
- Unga wa ngano au Bread crumbs
- Kijiko kimoja cha tangawizi
- chumvi
- Mixed spice au Viungo vya Pilau
- oil
- simba mbili au cubes
Maelezo
- Weka nyama ya kusaga kweye chombo na jikoni kwa moto mdogo
- Weka viungo vyako (Mixed spice, pilipili manga, simba mbili)
- Changanya mchanganyiko mpaka utakapo iva kicha weka pembeni
- Kama umepoa vunjia mayai na breadcrumbs au unga wa ngano
- Tengeneza kwa size unayotaka kwa kutumia mikono
- Weka kwa sahani kisha ziache kwa jokofu kwa lisa moja
- Bandika mafuta yakipata moto punguza moto, kisha anza kuchoma kabab zako mpaka zitakapo badilika rangi ya brownn hivi
- Weka pembeni tayari kwa kuliwa