Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
HahahaNdio hiyo nimemwambia jembe la mkono, akifika inabidi abadili unga kuwa mchele. Vibibi viko vingi.
HahahaNdio hiyo nimemwambia jembe la mkono, akifika inabidi abadili unga kuwa mchele. Vibibi viko vingi.
UK anaringa kwa sababu ana Idadi kubwa ya wazungu kutoka Ulaya Mashariki, Poland Lithuania Latvia Romania Na Bulgaria, hao ndio wana mfanyia Kazi zote ngumu.UK Na America kwa uelewa wangu ndo Kati ya nchi ambazo Ni ngumu kuingia, but zipo nchi ambazo mpaka zimekaribisha wahamiaji Kama Germany Na Serikali inasema wazi unataka nguvu kazi, ukitembelea Website ya Canada wameweka wazi kuwa kwa mwaka huu wana mpango wa kupokea wageni zaidi ya 300,000 Kama sijakosea ila Tu kwa mujibu wa sheria, pia wenye professional wanazotaka wanawapa vipaumbele, tatizo la nchi hii hakuna hata forums special ambapo Watanzania wangepata msaada namna ya kwenda abroad, tofauti Kama Nigeria, niliwahi kuweka post hapa nikihitaji usaidizi kupata Canadian visa, mdau mmoja akani direct Naija.com, kule nilikuta watu wanavyo fight kuondoka, walio abroad wanawasaidia wenzao kwa ushauri mbalimbali namna ya kuondoka, Kama lengo lako kwenda Abroad first chagua nchi ya kwenda, then tembelea Expat forums mbalimbali za nchi unayotaka kwenda, huko utakutana Na ushauri utakutana Na wadau waliofanikiwa kuondoka, ama wenzio Kama wewe ama raia Na wapo very social, ukweli Ni kuwa Kama unataka kwenda lets say UK inabidi uwe Na zaidi ya $10,000 bank, wengi hatuna hiyo pesa labda tunaweza kuwa Na $6,000, hapa ndo unapohitaji Invitation letter, barua ya Mwajiri n.k, but Kama hivyo huna then tafuta connection hasa nje!
Mkuu ku apply visa, sio issue issue ni kuwa Wengi hatuna sifa....utakuta mtu ana $4,000 au $5,000 hata aroge huwezi pata Visa ya UK or America, but kuna njia anaweza tumia akatoboa Ulaya nchi za kawaida baada ya muda then anaweza kwenda kwenye nchi ya matamanio yake, sasa maujanja kama haya huyapati ubalozini, ila kupitia Social forums kama hizi.Ukikaa vijiweni ndivyo unavyowadanganya wenzako hivi? Nenda ubalozi wa Uingereza consular section uone kama Watanzania hawaombi na kupewa viza.
Mjinga sana wewe na unaishi dunia ya kusadikika.
Nikweli mkuu,kwa sisi tuliozoea ku hustle bongo si rahisi yakatushinda ughaibuni,kama mtoto wa mama ndo hapoo.Maisha ni magumu kwako, kama Bongo baba yako ni fisadi wa Escrow ni lazima uone maisha ya UK magumu, unasema nauli ya daladala ni sawa ba Dar Moro mbona hutuambii mshahara kwa saa ni paundi ngapi kwa saa na mtu anaweza kufanya kazi ngapi kwa siku na kwa Agency kazi zipo?
Viza zinapatikana hapohapo ubalozini, wazungu wanalogwa na makaratasi tu, hayo makaratasi wanayoyataka yapo na viza zinatoka.Mkuu ku apply visa, sio issue issue ni kuwa Wengi hatuna sifa....utakuta mtu ana $4,000 au $5,000 hata aroge huwezi pata Visa ya UK or America, but kuna njia anaweza tumia akatoboa Ulaya nchi za kawaida baada ya muda then anaweza kwenda kwenye nchi ya matamanio yake, sasa maujanja kama haya huyapati ubalozini, ila kupitia Social forums kama hizi.
Schengen ni nchi ganiMaelezo mazuri zaidi yapo katika website yao, lakini wana masharti ka waganga wa kienyeji. Mara mia uombe viza ya Schengen ambayo inakupa uwezo wa kutembelea nchi zaidi ya 25 za maana (isipokuwa Uingereza).
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua mkuu.Mkuu ushawahi kutoka nje ya nchi kwanza inabidi utoke kwanza uende japo india, china, dubai. Uone mchakato ulivyo then unaweza kufikiria kuomba visa ya UK. Yaani UK na USA Visa zao kama unaomba kwenda mbinguni vile na tena ukitokea kwenye nchi zetu za dunia ya tatu ndio kabisa.
A group of European Countries that have abolished border controls against each other...sasa hapo list ya hizo nchiSchengen ni nchi gani
Umemjibu vyema sanaaaa.Mkuu ku apply visa, sio issue issue ni kuwa Wengi hatuna sifa....utakuta mtu ana $4,000 au $5,000 hata aroge huwezi pata Visa ya UK or America, but kuna njia anaweza tumia akatoboa Ulaya nchi za kawaida baada ya muda then anaweza kwenda kwenye nchi ya matamanio yake, sasa maujanja kama haya huyapati ubalozini, ila kupitia Social forums kama hizi.
Schengen sio Nchi, ila ni Mji mmoja wapo katika nchi ya Luxembourg, ambako mkataba wa kuondoa vikwazo mipakani kwa baadhi ya nchi za Ulaya ulisainiwa, mnamo mwaka 1985. Mkataba huu wa kuondoa vizuizi mipakani ulisainiwa na nchi tano kwanza, ambazo ni Ubelgiji, Ujerumani (enzi hizo ilikuwa Ujerumani Magharibi), Ufaransa, Luxembourg na Ubelgiji. Kwa sasa nchi zinahusika na mkataba huo zimeongezeka na kufikia 26, zikiwemo Sweden, Finland, Norway, Ugiriki, Italia nk. Uingereza haihusiki na mkabata huo.Schengen ni nchi gani
Reeds iko sehemu gani UK mkuu?Huwezi kupata visa ya kuingia na kuishi UK kwa wewe mbongo. Hiyo futa kwenye kichwa chako otherwise kama ulisoma /unaenda kusoma UK.
Jipange tafuta pesa kisha pitia Syprus, Greece, Hungary, Bulgaria. Then stay there for not less a year, kisha utaomba resdent permit(RP) then utaweza ingia UK kiutamuutamu na kupiga life. Nina jamaa yangu yupo Reeds but naogopa kukuconnect nae maana nikishawahi kufanya wema huo kisha jamaa akamuibia mshikaji vitu kibao akala kona to Wales but jamaa alimkamata after 3months.
NOTE:Maisha ya UK ni very tight so Jipange.
Senior Boss,A group of European Countries that have abolished border controls against each other...sasa hapo list ya hizo nchi
ndio wabidi uzicheck.
For America i think ndio maana wanasema ni rahisi kidogo kuingia states kupitia Canada cz boarder controls between Canada & US kidogo ziko loose kuliko useme utoke directly from Bongo to US.
Uzuri wa JF bana ni mgodi unaotembea unaweza pata maujanja humu huto amini.....Binafsi nikiona issue zinabuma kitaa lazma nije humu kwa ma Alhaj. Tehe
That is Correct.Senior Boss,
Nimependa ufafanuzi wako wa maisha ya Ughaibuni hapo juu. Nimeishi nchi mojawapo ya Scandinavia, kwa miaka kadhaa, infact maisha kule ni magumu kama hufanyi kazi, na kama ulivyosema, pesa nyingi unazopata zinaishia kwenye malipo kadhaa ya bili za nyumba, internet, maji na umeme. Ila ni kuzuri sana, na vijana wa bongo wapo kibao ambao wametumia Plan B kufika kule (njia zisizo rasmi), hasa ndoa.