Farudume12
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 621
- 348
Tatizo Jf wajuaji niwengi, utakuta mtu anajifanya anajua sana wakati hata tunduma hajawai kufika. kuwa mtanzania haimaanishi kushindwa kuomba ukimbizi inchi zakigeni. wa tz wangapi wameomba ukimbizi Botswana? huku wakijifanya wa Congo? mleta mada kama wew ni Mtanzania tafuta wa Congo wapo wengi sana hapo jobag watafute watakupa mchakato wote, hapo itakubidi uanzie UNHCR ujifanye kama mkimbizi, jiandae na interview utakaguliwa kama kweli wew ni mkimbizi kutokea Congo ao inchi nyingine ambayo inamachafuko. jiandae vizuri wanaweza kwanbia uimbe nyimbo yataifa ya inchi husika. ukimaliza hapo mengine yatafata. hayo nikwa uzoefu wangu.