Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,556
- 15,820
Punguza kuangalia bongo movie
Buddah una madhambi jamaa, wamuitaje chalii ati ako ni extremely single? Ha hahaMambo yote haya ni Kwa wife, utani huu, huyu jamaa aliyepost ni extremely single
Siku hizi hakuna kusumbuana. Mtu hakutaki hakutaki basi.Hizi story mna-copy za miaka ya 80 mnazileta leo..! Wanawake wa leo unachart nae kwenye mtandao,mnakubaliana na akija anakukuta hotelini kabisa,akifika anaanza kuvua nguo kabisa akaoge ndo arudi msalimiane!!
HahahahYaani adi ufike number 19 si umemaliza mwaka... njia rahisi na nafuu sogea zako sinza mori osha rungu kula kona
Teh kama ye sio selfish anifanyie na mimi hivoMkuu hiyo selfshness spirit
Usinifanyie hivyo mama mi nakutaka akii, kuna 1m ya kufungia weekend. Wapi ulipo nisogee?Siku hizi hakuna kusumbuana. Mtu hakutaki hakutaki basi.
Wakati unafanya haya 1- 19 kichwa cha chini kinakuangalia tu??Zifuatazo ni njia za kuamsha hamu ya kufanya mpenzi ya mwanamke. Njia hizi zimegawanyika katika hatua mbili kuu, kwanza ni kumfanya akukubali na kisha kuamsha hisia zake.
01: Mfanye akukubali
Njia za kumfanya akukubali ni kama ifuatavyo
02: Uwe na muonekano mzuri
Wanawake wanapenda wanaume wasafi na watanashati kwa hiyo ukiwa msafi na mtanashati utakua na mvuto kwake. Hivyo utakapoamua kumshawishi kufanya mapenzi itakua rahisi yeye kuwa rahisi kukubali.
03: Mfanye ajisikie huru
Ni rahisi mwanamke kufanya mapenzi na mtu anayejisikia huru mbele zake na ambaye yupo huru kuongea na kufanya nae mambo mengine ya kawaida katika maisha. Kwa hiyo ili uweze kumshawishi mwanamke kufanya mapenzi na wewe njia nzuri ni kumfanya ajisikie yupo huru mbele yako na kasha atakua huru kufanya mapenzi na wewe.
04: Mfurahishe
Mfanye ajisikie mwenye furaha kila anapokuwa na wewe na atamani kuwa na wewe. Akishajiskia mwenye furaha kila anapokuwa na wewe ni rahisi kushawishika kuwa na wewe kimapenzi.
05: Mfanye ajione kuwa yeye ni mzuri
Mwanamke anapenda sana na anavutiwa na mwanamme anayeona ubora wake au anayemsifia kuwa ni mzuri.
06: Mfanye akuamini
Mfanye aamini kwamba hata baada ya kufanya mapenzi bado mtakua pamoja na sio mwisho wa mahusiano yenu au urafiki wenu.
07: Usiwe na haraka, Mpe muda
Usiwe na haraka ya kumwambia kuwa unataka kufanya mapenzi na yeye bali subiri mpaka utakapoona yupo tayari au anaelekea kukuhitaji.
08: Mfanye akuone mwaminifu
Mfanye akuone mwaminifu kwa kutomchanganya na wanawake wengine. Usimuonyeshe kuwa una mahusiano na wanawake wengine. Mfanye aamini kuwa unamuhitaji yeye tuu.
09: Mjali kama mwanamke
Mfanye ajiskie kuwa mwanamke. Jaribu kuonyesha kuwa mwelewa, onyesha kuwa unajali, mkarimu na muonyeshe kuwa wewe ni msaada kwake. Mfungulie mlango, mbebee begi au pochi yake n.k.
10: Onyesha kuwa anapenda kila kitu kutoka kwake
Muonyeshe kuwa unampenda yeye na vyote vyake. Onyesha kuwa umevutiwa na yeye na mambo yake yote na sio mwili wake tuu.
11: Amsha hisia zake
Baada ya kumvutia, sasa amsha hisia zake. Njia za kuamsha hamu ya kufanya mpenzi ya mwanamke au Hatua za kufuata kuamsha hisia za mwanamke ni kama ifuatavyo
12: Andaa Mazingira
Andaa mazingira ya kuamsha hisia zake, fanya kitu kitakachowasogeza karibu na kuamsha hisia zake Kwenye akili yake kabla ya kugusa mwili. Mfano, weka mziki au muvi nzuri n.k. Kisha tengeneza mazingira ya kuwa karibu kimwili na kugusana.
13: Kaa kwa kubanana naye
Unapokuwa na mwanamke ambaye umemzimia, tafuta kisababu cha kukaa na yeye karibu. Toa simu muangalie pamoja videos kama vile za kuchekesha, ama unaweza kuchukua kitabu/gazeti umuonyeshe habari ambazo anapenda ilimradi tuu muwe karibu.
14: usimwonyeshe/usiongee kile unachotaka
Usijaribu kutumia lugha ya kutongoza ama utamfanya aanze kukushuku. Tayari anajua kuwa miguso ya mikono yako ya mara kwa mara inaashiria kitu fulani. Kile unachotakiwa kufanya ni kuivuruga akili yake kwa kuleta mada ambayo itamvutia huku ukiendelea gusa mwili wake
15:Anza kutumia Lugha ya kumsuka
Wakati mtakuwa mnaendelea unaweza kutumia maneno ya kumsuka lakini yawe ya kichini chini. Mfano unaweza kumwambia "Unanukia utamu", "nimependa kitambaa cha nguo yako","nishawahi kukuambia kuwa macho yako yanapendeza? Nimependa vile yanang'aa nikiwa karibu yako." Maneno kama haya unaweza kumrushia mwanamke huyu bila hata yeye kusongea mbali na wewe. Mwanzo atakuwa anapenda kuyaskia.
16: Isome miondoko yake
Ukianza kumuona anazungumza polepole na kukusongelea karibu yako, ishara kuu ni kuwa yupo tayari. Kwa hiyo kufikia hapa unaweza kurudia hatua za kumsuka, kumgusa na kujaribu kufikia viungo vyake vingine vya mwili ilimradi nyote wawili mnafurahia.
17:Mbusu
Baada ya kuandaa mudi au mazingira na kuamsha hisia zake sasa tafuta namna ya kumbusu. Mbusu taratibu kwa namna ambayo haitamshtua na kumfanya aogope au akatae.
18: Mshikeshike
Wakati wa kumbusu mshike mwili wake ili kuamsha hisia zake. Anza na mikono kasha rudi kichwani Kwenye nywele zake na kisha maliza sehemu nyingine za kuamsha hisia zake.
19: Usimlazimishe bali mbembeleze
Kama hataki usimlazimishe bali mbembeleze au muache mpaka wakati mwingine atakapokuwa tayari.
Ukitumia mbinu hizi mtoto akachomoka bila kumgegeda njoo uwaambie ma Modes wanitowe Jf
Nb: Ni makosa makubwa na ni dhambi kufanya mapenzi kabla ya ndoa. Mbinu hizi zitumie kwa mwenzi wako wa ndoa
Dr
Namshangaa huyu analeta mambo mengiiiii....!!! Hao walikuwa na muda wa kufanya hayo. Sisi hatuna hizo mambo. Hapa tu penyewe nna mtu ananisumbua,sijawahi hata kumuona zaidi ya picha,nimeshamyeyusha kukutana mara 2. Lkn nilikuwa nikishindwa namtumia japo 15. Aisee,leo ananiambia kabisa anataka aje nimto......m-be! Na me sina hata genye leo. Nataka tu nimtumie elfu 10 me niende zangu kwenye kikao cha harusi. Ntamgonga siku yoyote. Siku hizi hakuna mbwembwe!!!Siku hizi hakuna kusumbuana. Mtu hakutaki hakutaki basi.
Hiyo mbinu Nitaitumia Kwako Aiseethis sunday nah,..God for bid.,.Chineke!!!
Na wewe punguza ubahili basi. Sasa elfu 10 inatosha nini? Haitoshi hata chupa moja ya wine. Ongeza kasi bwana maana unaonekana mjanjaNamshangaa huyu analeta mambo mengiiiii....!!! Hao walikuwa na muda wa kufanya hayo. Sisi hatuna hizo mambo. Hapa tu penyewe nna mtu ananisumbua,sijawahi hata kumuona zaidi ya picha,nimeshamyeyusha kukutana mara 2. Lkn nilikuwa nikishindwa namtumia japo 15. Aisee,leo ananiambia kabisa anataka aje nimto......m-be! Na me sina hata genye leo. Nataka tu nimtumie elfu 10 me niende zangu kwenye kikao cha harusi. Ntamgonga siku yoyote. Siku hizi hakuna mbwembwe!!!
Umefurahiiiithis sunday nah,..God for bid.,.Chineke!!!
Wine atakunywa akiwa na mimi! Shida ya wine ina tabia ya kukimbilia huku chini hasa nyie akina dada..!! Halafu elf kumi mbona nyingi sana mkuu,hiyo si ni ku-mradhi tu!?? Mambo magumu ss hivi....Na wewe punguza ubahili basi. Sasa elfu 10 inatosha nini? Haitoshi hata chupa moja ya wine. Ongeza kasi bwana maana unaonekana mjanja
Sasa elfu 10 mtu anafanyia nini bwana? Sio wote mbona mimi haikimbilii hukoWine atakunywa akiwa na mimi! Shida ya wine ina tabia ya kukimbilia huku chini hasa nyie akina dada..!! Halafu elf kumi mbona nyingi sana mkuu,hiyo si ni ku-mradhi tu!?? Mambo magumu ss hivi....