Jinsi ya Kujua anae Angalia sana Akaunti yako ya Facebook

Sasa tumwamini nani?
Tumwamini anayedai kuwa ni mtu au watu wanaokufatilia sana kwenye account yako ya FB.
Au

Ayedai kuwa ni mtu au watu unaochati nao sana FB?

Bado natatizika hapa ndugu zangu.
 
hii ni ya kujua watu unaochati nao freequently sio wanaotembelea profile yako
Kama ninaochat nao often kwenye facebook massanger si inaonesha kama my favorites? Sasa kuna haja gani ya kufuata process yoote hii wakati massanger ishanirahisishia?
Thank you for your guide mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom