Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,775
Watanzania wanapenda sana kujifanya wanajua utakuta mtu anasema Nairobi fly wakati hakuna kitu kama icho Bali ni narrow bee fly
Yaani mnaweza mkabishana mpaka mkagombana
Au jitu zima linasema nimekudip badala ya kubeep
Mkuu hata mimi hapo nilikuwa mshamba, ingawa nilikuwa namuita Narobi fly