Ricky Blair JF-Expert Member Mar 13, 2023 460 1,007 Feb 16, 2025 #1 Hivi ukitaka kuifuta account yako au profile yako kwa Ajira Portal unafanyaje? Kwa sababu nimejaribu kila kitu wap. Nisaidieni.
Hivi ukitaka kuifuta account yako au profile yako kwa Ajira Portal unafanyaje? Kwa sababu nimejaribu kila kitu wap. Nisaidieni.
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 133,723 159,549 Feb 16, 2025 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw